Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.
Acha kuhusisha ujinga wa watu binafsi na taasisi kwa sababu issue hapo sio dini bali mtu akishakuwa Msukule wa Lumumba tu, haijalishi yupo kwenye imani ipi lakini kitakachofuata kwake ni kuenenda mithili ya hayawani!

Au umesahau Askofu Gwajima alipomshambulia Askofu Pengo kwa maneno makali mara mia ya hayo?! Hapo napo utasemaje?! Ina maana hapo napo hudhani kama ni kweli Ukristo ni dini ya upendo wakati ni wazi Gwajima aliongozwa na uendawazimu na wala sio kwa ajili ya Ukristo wake!

Yaani uendawazimu binafsi wa watu unataka kuunasibisha na dini mzima?! Hapo Sheikh Alhadi ukimsikiliza, anaonekana wazi yupo too personal na ndio maana kajaza umimi kwenye maelezo yake!
 
Hao viongozi wote wawili wamesoma, ndio, wamesoma kweli kweli. Sheikh Muhamad Eid kwa mfano, ana darsa mbali mbali anafundisha na kutoa mawaidha.
Going places? Doest that refer to travelling abroad? Cause if it does, Sheikh alhad earned his bachelor's abdroad, while Eid is such a very frequent traveler.
Huwenda wana kutokuelewana kwao binafsi ndio haya yanapotokea
 


MWENYEZI MUNGU ANAKUONA
 
"Hata wakiwa wanafanya vitendo vya ajabu kule kulawiti vitoto vidogo issues kama hizo zinakua dealt with professionally..."

Mtu akipatikana na hatia ya vitendo hivyo ni mhalifu na anastahili kifungo tu. Sasa wewe sijui una maana gani unapoandika kushughulikia professionally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…