Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Kitabu kisicho na shaka sasa hii shaka inatoka wapi maana naona pande mbili kinzani hapa.
Kunashaka nyingi kupindukia, ila ni udictator tu, ili usikichambue.
Ujanja wa kizamani.
 
Umemsikiliza vizuri? Anaongelea nafasi ya juu kabisa ya uongozi... Hizi nyingine hana shida nazo.

Pili; huo siyo msimamo wake wala maneno yake, ananukuu maandiko Matakatifu ya Quran.

Tatu; huu mwaka tunaongozwa ama tunapotezwa?
Najibu Hilo la tatu, kama kupotezwa basi ni wewe Tu na kundi lako mlioshindwa; Sisi wengine tunaongozwa na Mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan na tunamheshimu Sana Tu. Poleni!
 
Najibu Hilo la tatu, kama kupotezwa basi ni wewe Tu na kundi lako mlioshindwa; Sisi wengine tunaongozwa na Mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan na tunamheshimu Sana Tu. Poleni!
Unatia kinyaa.

Unajibu swali ambalo haujalielewa!
 
Mada inasema kuwa kwenye uongozi wa juu kama Rais siyo uongozi kwa ujumla .

Uongozi wa juu katika utamaduni wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia una maana kubwa, yawezekana urais siyo sawa na maana ya uongozi wa juu.

Mfano nchi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kiongozi mkuu wa kidini Grand Ayatollah / Supreme Leader ni kiongozi mkubwa kuliko yule kiongozi wa serikali yaani Rais.

The Supreme Leader ranks above the President of Iran and personally appoints the heads of the military, the government, and the judiciary

Mjadala huu ni mpana tusijikite tu katika upande wa kiimani bali tuutanue na kuuangalia ktk upande wa ki secular tamaduni na desturi za makabila ya Tanganyika na Zanzibar .
 
Ipo Aya inasema Wanaume ni viongozi wa wanawake na hadithi sahihi zikisema haitakiwi mwanamke awe mtawala mkuu nikipata nafasi nitakuwekea nambari kwenye vyanzo vyote .
[emoji1316][emoji1316][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Uongozi wa juu katika utamaduni wa Kiislamu una maana kubwa, yawezekana urais siyo sawa na maana ya uongozi wa juu.

Mfano nchi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kiongozi mkuu wa kidini Grand Ayatollah / Supreme Leader ni kiongozi mkubwa kuliko yule kiongozi wa serikali yaani Rais.
Sheikh ametaja kabisa - Urais.

Rudia kuangalia hiyo clip.
 
Back
Top Bottom