Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunashaka nyingi kupindukia, ila ni udictator tu, ili usikichambue.Kitabu kisicho na shaka sasa hii shaka inatoka wapi maana naona pande mbili kinzani hapa.
Nikitulia nitaweka full nondoz inshaAllahTutashukuru sana ukituwekea chanzo mkuu.
Nasapoti maandiko bila ubishi kwa asilimia zote ila kuwa hivyo haimaanishi mtawala akiwa mwanaume hakiaribiki kitu mambo yote safi.Kwahiyo nini mtazamo wako katika hili?
Najibu Hilo la tatu, kama kupotezwa basi ni wewe Tu na kundi lako mlioshindwa; Sisi wengine tunaongozwa na Mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan na tunamheshimu Sana Tu. Poleni!Umemsikiliza vizuri? Anaongelea nafasi ya juu kabisa ya uongozi... Hizi nyingine hana shida nazo.
Pili; huo siyo msimamo wake wala maneno yake, ananukuu maandiko Matakatifu ya Quran.
Tatu; huu mwaka tunaongozwa ama tunapotezwa?
Ashakomaa hedhi kitambo mbonaSheikh yuko sahihi ...muislam Safi huwezi kuendeshwa Na mwanamke anaeingia hedhi ....Astaghfirullah laanatulillah
CHADEMA mna-support ushoga kama wazungu?
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1316][emoji1316]Katiba ya JMT
Mada inasema kuwa kwenye uongozi wa juu kama Rais siyo uongozi kwa ujumla .
The Supreme Leader ranks above the President of Iran and personally appoints the heads of the military, the government, and the judiciary
Oooh sio lazima kifo ujue[emoji34][emoji34][emoji34]Hahaha... Hakuna aliyekufa boss.
[emoji1316][emoji1316][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Ipo Aya inasema Wanaume ni viongozi wa wanawake na hadithi sahihi zikisema haitakiwi mwanamke awe mtawala mkuu nikipata nafasi nitakuwekea nambari kwenye vyanzo vyote .
Sawa bwana!! Pengine tupo pamoja hapaUnatia kinyaa.
Unajibu swali ambalo haujalielewa!
Usiwe shaka ni ajali tu. 2025 hii kitu inaisha.Sikiliza mwenyewe.
Sheikh ametaja kabisa - Urais.Uongozi wa juu katika utamaduni wa Kiislamu una maana kubwa, yawezekana urais siyo sawa na maana ya uongozi wa juu.
Mfano nchi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kiongozi mkuu wa kidini Grand Ayatollah / Supreme Leader ni kiongozi mkubwa kuliko yule kiongozi wa serikali yaani Rais.