Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kuabudu mizimu na kulamba miguu ya wazungu ndio unakuita kula bata!
Kama huko ndiko kula bata, mi njiwa wananitosha!
Hao bata kuleni wewe na Nyani Ngabu pamoja na his brother from another mother mkataa nasaba Kiranga
I must be the monster in the closet of your feeble mind!
Mada za Mohamed Said zina utata, huacha maswali mengi na zinahuzunisha kwa upande mwingine.Chizi Maarifa,
Haikuwa nia yangu kukujibu kuhusu suala la Waislam kujenga shule.
Inawezekana kabisa hujui historia ya Waislam na juhudi zao katika elimu na ndiyo maana ukaja na hoja hiyo.
Inaelekea wewe ni mgeni hapa jamvini.
Mimi nimetoa ushahidi jinsi watendaji Wakristo wanavyohujumu juhudi za Waislam katika elimu.
Nitakuwekea baadhi ya mifano ambayo tayari nilishaizungumza hapa kwa kirefu:
- Nyerere kuipiga marufuku East African Muslim Welfare Society (EAMWS)1968 ili isijenge Chuo Kikuu
- Serikali kukataa Chuo Kikuu Cha Kiislam kilichotaka kujengwa na OIC kisijengwe Tanzania
- Serikali kupiga vita Darul Imaan isijenge shule Kibaha
- Serikali kuondoa uongozi wa vijana wa WARSHA waliokuwa wanataka kuziborehs shule zilizokuwa chini ya BAKWATA shule ambazo zilijengwa na EAMWS kabla ya kupigwa marufuku
- Hujuma kwa vijana wa Kiislam ndani ya Wizara ya Elimu iliyogunduliwa na WARSHA 1981 na kuthibitishwa na marehemu Prof. Malima 1987
- Hujuma kwa shule za Kiislam katika NECTA
Hii ni baadhi ya mifano na Waislam wameiomba serikali wakae chini wajadili lakini serikali inaogopa kufanya hivyo juu ya kupatiwa ushahidi wa haya niliyosema.
Hayo mengine unayosema ya kuoa kwani kuna ubaya katika kuoa na kupata kizazi?
Ama hilo la ushirikina Uislam unakataza shirki na ni katika dhambi kubwa sana.
Kuhusu hali duni hilo ni suala linalotaka uzi wake maalum tujadili.
Mada za Mohamed Said zina utata, huacha maswali mengi na zinahuzunisha kwa upande mwingine.
MS ulichokileta hapa ni tribute ya Ilunga. Ilitegemewa watu na hasa vijana kama mada inavyoeleza wazungumzie mafanikio(success), Failure na legacy ya Ilunga baada ya msiba wake.
Kinachoonekana ni MS kufungua uwanja wa matusi, kashfa n.k.
Katika mazingira ya kawaida mleta mada ndiye moderator na alipaswa kuilinda mada yake kwa kusimama katikati, akiongoza na kukemea yaliyo nje ya mada.
MS kwa umri wewe ni mzee na kwa jadi zetu una jukumu la kijamii kuongoza vijana kwa busara na hekima.
Tumia elimu yako kusaidia jamii na si kuleta sintofahamu zisizo za lazima.
Kwa uzi huu, inaonyesha jinsi ambavyo mada zako zimekuwa chanzo cha mijadala ambayo wengi hawaipendelei kama wanadamu na kama Watanzania.
Yanapo poroshomoshwa matusi na kashfa, mada inapochakachukiliwa, hiyo inaelezea zaidi ya ambavyo ungependa iwe.
Nakunasihi uangalie tena kama mada za namna hii ambazo zinaondoka katika 'theme' zinajenga jamii au zinaleta ufa.
Uangalie nafasi yako kwa jamii kwa ukubwa na uzito wake.
Ahsante
Huwa si vizuri sana kujadili marehemu...ila ndugu mtoa mada umepotosha mambo mengi sana kwa lengo la kuamsha hisia za udini...na hii inaonyesha jinsi unavoishi kwa hisia badala ya ukweli, ndugu unatumia elimu yako vibaya na hii ndo shida "upotoshaji" kwenda mbele...70s mwishoni na early 80s Ilunga, akijulikana kama Ilunga wa Ilunga alikuwa member wa Black September moja ya vikundi hatari enzi hizo mkoani Tabora, pia alikuwa mahiri ktk karate na mapigano ya vikundi vya mitaani-Ismail Rage na vyombo vya usalama enzi hizo wanaijua hii habari, nimemtaja Rage kwa sababu kundi la Black september lilikuwa na maskani mtaa wa Rufita(Lumumba hall)- kwa akina Rage...hivi kusema Ilunga wa Ilunga alikuwa na malezi/ujana wa ki islam si kweli...ukiangalia historia ya Ilunga wa Ilunga na vurugu alizoletea Uislam ndipo utaona umuhimu wa Bakwata na udhaifu mkubwa ktk utunzaji kumbukumbu za kihalifu ktk vyombo vya usalama...nasema Bakwata kwani ndicho chombo kinachojua uanazuoni/ueledi wa hawa wanaojiita masheikh wakati dini yenyewe wamekutana nayo uzeeni...hakika ntakapokuwa dsm, nitapita nikufahamu Mohd Saidi...
Nenda ofisi za serikali na makampuni binafsi kaangalie uwiano wa ajira ... angalia interview shortlist ktk magazeti wakiristo 30 jina la muislam moja ... najua mtatokwa na povu hpa ila ndio ukweli
Mkuu mara zoote huwa nashangazwa sana na hizi nasaha zako za kinafiki!
Hivi nikweli kuwa huoni MUANZISHA MATUSI ktk hizi nyuzi za Mzee Mohamed Said??
Mi nafahamu kwa nini wewe Unajifanya huoni!
Kwa sababu ni kanuni ya jicho la mnafiki kuona upande mmoja tu!
Ningekuheshimu sana kama ungeanza kuwakemea hao wagalatia wenzako ambao waonapo uzi wowote ulioanzishwa na Mzee MS Basi wao wanaanza kuuchafua kwa matusi na kashfa!
JF ina moderators lkn mara nyingi mpaka uwajulishe kuwa kuna wanaharamu huku wanachafua mazingira!
Na mara nyingi husababisha UZI KUFUNGWA!
Sasa ili kuuendeleza nyuzi hizi inabidi wajitolee waungwana kusafisha hao wana wasio na wazazi ili wengine wapate faida!
Na hilo litaendelea kuwepo mpaka watu wa kambi yako waache kuingiza maneno ya kashfa ktk nyuzi zetu!
Na usishangae kuniona mimi na wengine tukichafua nyuzi zao!
Hio inaitwa "revenge"!
Na kuna msemo unasema "revenge is desert better serve cold"!
Anza kuwaasa watu wako ndio uje huku!
Swadaqta kaka yangu kwa hoja zako zenye mashiko ni ukweli usopingika kua huyu Nguruvi3 ni MNAFKI SANAAAAAAAAA
Jazaka LLAH Kheyraaaa
Brother@kahtaan......!!!!!!!!!
ndoa za jinsia moja zimewaribu thats why mnakuwa mapunga wa kushobokea wanaume wa shoka..
yan wewe na akili zako unachukua sanamu au mwanasesere wa kizungu unaweka ukutani na kuabudu huku ukiliita mungu hivi hiyo ni akili ama matope?
mnaozwa hadi na mbwa nowdays,hamjitambui.
Nguruvi3Mada za Mohamed Said zina utata, huacha maswali mengi na zinahuzunisha kwa upande mwingine.
MS ulichokileta hapa ni tribute ya Ilunga. Ilitegemewa watu na hasa vijana kama mada inavyoeleza wazungumzie mafanikio(success), Failure na legacy ya Ilunga baada ya msiba wake.
Kinachoonekana ni MS kufungua uwanja wa matusi, kashfa n.k.
Katika mazingira ya kawaida mleta mada ndiye moderator na alipaswa kuilinda mada yake kwa kusimama katikati, akiongoza na kukemea yaliyo nje ya mada.
MS kwa umri wewe ni mzee na kwa jadi zetu una jukumu la kijamii kuongoza vijana kwa busara na hekima.
Tumia elimu yako kusaidia jamii na si kuleta sintofahamu zisizo za lazima.
Kwa uzi huu, inaonyesha jinsi ambavyo mada zako zimekuwa chanzo cha mijadala ambayo wengi hawaipendelei kama wanadamu na kama Watanzania.
Yanapo poroshomoshwa matusi na kashfa, mada inapochakachukiliwa, hiyo inaelezea zaidi ya ambavyo ungependa iwe.
Nakunasihi uangalie tena kama mada za namna hii ambazo zinaondoka katika 'theme' zinajenga jamii au zinaleta ufa.
Uangalie nafasi yako kwa jamii kwa ukubwa na uzito wake.
Ahsante
we binti Allah.. unashea akhera ya mabikra..? waache wanaume wenye ahadi yao
Tatizo la kuingia JF umeishakunywa gongo mpaka unakosa muda wa kuangalia habari.Amekufa lini? maana unapotoa habari kama hii lazima uweke pia amekufa lini? katika hospitali gani? saa ngapi au hat siku gani?
Amekufa lini? maana unapotoa habari kama hii lazima uweke pia amekufa lini? katika hospitali gani? saa ngapi au hat siku gani?
Mkuu mara zote huwa nashangazwa sana na hizi nasaha zako za kinafiki!
Hivi nikweli kuwa huoni MUANZISHA MATUSI ktk hizi nyuzi za Mzee Mohamed Said??
Mi nafahamu kwa nini wewe Unajifanya huoni!
Kwa sababu ni kanuni ya jicho la mnafiki kuona upande mmoja tu!
Ningekuheshimu sana kama ungeanza kuwakemea hao wagalatia wenzako ambao waonapo uzi wowote ulioanzishwa na Mzee MS Basi wao wanaanza kuuchafua kwa matusi na kashfa!
JF ina moderators lkn mara nyingi mpaka uwajulishe kuwa kuna wanaharamu huku wanachafua mazingira!
Na mara nyingi husababisha UZI KUFUNGWA!
Sasa ili kuuendeleza nyuzi hizi inabidi wajitolee waungwana kusafisha hao wana wasio na wazazi ili wengine wapate faida!
Na hilo litaendelea kuwepo mpaka watu wa kambi yako waache kuingiza maneno ya kashfa ktk nyuzi zetu!
Na usishangae kuniona mimi na wengine tukichafua nyuzi zao!
Hio inaitwa "revenge"!
Na kuna msemo unasema "revenge is desert better serve cold"!
Anza kuwaasa watu wako ndio uje huku!
Hivi huu unaoitwa mfumo kristo unamnufaisha mkristo yupi hasa? Mbona sijauona huku mtaani zaidi naona wote waislamu na wakristo wakitaabika pamoja?
Kama ni mashuleni wote wanakosa vitabu, mahospitalini wote wanakosa madawa, Umeme ukikatika hauchagui huyu mwislamu huyu mkristo, mvua zikinyesha Wote wanakumbwa na mafuriko n.k n.k..
Wewe lazima utakuwa mfuasi wa Rev Gene Robinson.we binti Allah.. unashea akhera ya mabikra..? waache wanaume wenye ahadi yao