Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
- Thread starter
-
- #41
Pinga kwa hoja.Pumbavu hao,vichwa nazi
Nakushauri umsikilize kwanza kisha umkosoe kwa elimu na hojaShkh Qassim atulie haya mambo yakuchomekea maneno kwenye hali kama hii....utaonekana wale wale..
Aanze kuhubiria haki kwanza ndo ije amani.......
Bila kusahau uadirifu kwa viongozi....au viongozi wanaogopwa shkh...!!?
Maadamu ni HAQQ itasemwa.Ndo wanataka hivi
Kosoa kwa elimu na hoja. Kejeli na matusi havina nafasi katika uislamuHuyo sio sheikh ni "punda" wa watawala
Hapo kuna kejeli gani na matusi?Kosoa kwa elimu na hoja. Kejeli na matusi havina nafasi katika uislamu
Namnukuu "Huyo sio sheikh ni "punda" wa watawala"Hapo kuna kejeli gani na matusi?
Sijamkosea akhyNakushauri umsikilize kwanza kisha umkosoe kwa elimu na hoja
Una uhakika kuwa anapepea na upepo wa CCM au ni dhana tu Kaka?Sijamkosea akhy
Na yule ni mwalimu wangu amenipiga msasa pale pogwe....ila nae mwanadamu kuna muda anapepea na upepe wa ccm,ndo mana nasema kuna amani gani bila haki..
Lililobora ni wewe kuja na hoja za kielimu kupinga hoja alizotoa Sheikh.Sijamkosea akhy
Na yule ni mwalimu wangu amenipiga msasa pale pogwe....ila nae mwanadamu kuna muda anapepea na upepe wa ccm,ndo mana nasema kuna amani gani bila haki..!!?
Kesho anamaliza ziara yake kwa kutoa muhadhara Morogoro mjini nadhani ataanzia saa kumi baada ya swala ya Al aswiri.Shkh Qassim atulie haya mambo yakuchomekea maneno kwenye hali kama hii....utaonekana wale wale..
Aanze kuhubiria haki kwanza ndo ije amani.......
Bila kusahau uadirifu kwa viongozi....au viongozi wanaogopwa shkh...!!?
Muhadhara wa sheikh Kassim Mafuta Morogoro mjini unaanza muda huu.🛑 📻 LIVE ZIARA YA KIDA'AWA 1446H - 2025M
📡 MUHADHARA BAADA YA ASRI MRKAZ AL- IMAM SHAWKAAN SULTAN AREA MOROGORO MJINI
🎙️ MUHADHIRI :-
SHEIKH ABULFADHLI KASSIM MAFUTA KASSIM حفظه الله
Radio Link 1
📡TELEGRAM LIVE LINK 2
ONLINE RADIO "ZENO" 3
•┈┈•◈◉✹❒📚❒✹◉◈•┈┈•
Kwa hiyo ukinukuu hivyo ndiyo inakuwa matusi?Namnukuu "Huyo sio sheikh ni "punda" wa watawala"
Kimaadili na Kiislamu: Haifai kumuita mtu majina ya kudhalilisha kama "punda". Mtume Muhammad ﷺ amesema:Kwa hiyo ukinukuu hivyo ndiyo inakuwa matusi?
Nimekwambia ufafanue matusi unayosema umeshindwa badala yake unafanya "ukasuku" kama ilivyo kawaida ya pote lenu,kukaririshana mfano wa manaswara
"Muislamu ni ndugu wa Muislamu, hamdhulumu wala hamdharau..." (Bukhari & Muslim)
Naam nadhani umejitahidi kufafanua kwa kadri ya uwezo na ufahamu wako japokuwa hauko sawa. Ndipo nakuuliza je kwa munasaba wa aya hiiKimaadili na Kiislamu: Haifai kumuita mtu majina ya kudhalilisha kama "punda". Mtume Muhammad ﷺ amesema:
Kwa hekima: Ikiwa una tofauti na Sheikh(labda haufurahishwi na msimamo wake au uhusiano wake na watawala), kuna njia ya kueleza hoja zako kwa adabu na dalili, bila kutumia lugha ya kejeli.
Una uhakika kuwa Sheikh anapindisha Aya kwa maslahi ya watawala? Katika anayofundisha kuna ambayo liko kinyume na Qur'an na Sunnah? Kwa mujibu wa Uislamu Mtawala hakosolewi hadharani wala haombewi Dua mbaya. Na miongoni mwa dalili za watu wa Sunnah ni kuwaombea Dua nzuri watawala. Watawala ni binadamu kama binadamu wengine. Wanakosea na wanapatia.Naam nadhani umejitahidi kufafanua kwa kadri ya uwezo na ufahamu wako japokuwa hauko sawa. Ndipo nakuuliza je kwa munasaba wa aya hii
مَثَلُ الَّذِينَ حُمِّلُوا التَّوْرَاةَ ثُمَّ لَمْ يَحْمِلُوهَا كَمَثَلِ الْحِمَارِ يَحْمِلُ أَسْفَارًا ۚ بِئْسَ مَثَلُ الْقَوْمِ الَّذِينَ كَذَّبُوا بِآيَاتِ اللَّـهِ ۚ وَاللَّـهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ﴿٥﴾
" Mfano wa wale waliobebeshwa Tawraat, kisha wasiibebe ni kama mfano wa punda abebaye mijalada ya vitabu. Ubaya ulioje mfano wa watu waliokadhibisha Aayaat (na Ishara, Dalili) za Allaah! Na na Allaah Haongoi watu madhalimu".
#Quran [62:5]
-Je Allah katukana na ni kinyume na maadili?
Wapaswa kufahmu kuwa tusi na kejeli ni pale unapomuita mja jina lisilomstahiki lakini kwa mwenendo wa Bwn Kasim mafuta na mfanowe,kufuata watawala wasiohukumu kwa sheria ya Allah na kupindisha ayaat kwa maslahi yao binafsi ndio maana baadhi ya wanazuoni wakawaita punda wa watawala
Ingekuwa vizuri ungeambatanisha na dalili,na sio maneno matupu tu..Una uhakika kuwa Sheikh anapindisha Aya kwa maslahi ya watawala? Katika anayofundisha kuna ambayo liko kinyume na Qur'an na Sunnah? Kwa mujibu wa Uislamu Mtawala hakosolewi hadharani wala haombewi Dua mbaya. Na miongoni mwa dalili za watu wa Sunnah ni kuwaombea Dua nzuri watawala. Watawala ni binadamu kama binadamu wengine. Wanakosea na wanapatia.