Sina chuki ila kumlipia mahari mtu si sawaMama na baba yako bila kufanya ngono ww ungezaliwa?
Au huyo mke uliye naye umemuoa ili umlishe anenepe ili uje umchinje ukamuuze kama ngombe buchani au?
Some time chuki humfanya mtu kuwa mpumbavu.
Hiyo ni offer tu wamepewa. Siyo kwamba hawana uwezo wa kulipa mahari.Huh!! Sasa kama hata mahari tu hawawezi kujilipia, wataishije?
Kwa hiyo kwako uzinzi ndo una faida?Mtoa maoni alikuwa na hoja. Kuwafungisha watu ndoa ni kitu chenye faida? Hauoni idadi ya ndoa zinazovunjika kila siku hapa nchini? Kwa Dar peke yake ndoa 300 huvunjika kwa mwezi.
Mwanaume lazima apatiwe mtihani wa kutoa mahari na kugharamia harusi. Akishindwa hiyo ndoa itayumba tu.
Shekhe kasema mabachela. Mtu ambaye ni bachela ni kwamba ana umri wa kuoa lkn kutokana na changamoto za maisha hajaoa. Kwahiyo huyumtu ukimlipia mahari akaoa hjamsaidia. Unamuongezea mzigo.Apo mtaani kwako kuna vijana wangapi wanaishi na wapenz wao pasipo ndoa na wanagharamikia matumizi bila tatizo sasa hao ndo walegwa achaha kuwaza hasi mda wotee. Hongera kwa Kishki na Alkim Foundatio Allah awazidishie Wanapopunguza AmeenaInshaAllah zinaa na chukizo kwa Mola wetu.
Ilakumbuka Allah anawatu wake.
Unataka kusema walio kwenye ndoa hawazini? Takwimu zinaonesha michepuko mingi sana kama siyo yote inahudimiwa na wenye ndoaKwa hiyo kwako uzinzi ndo una faida?
Kwani kuna vijana wangapi wanaishi na wanawake na hawajatolea mahali?
Ungetoa hoja bila kejeli ungeeleweka tu tujifunze kuheshimiana.Sina chuki ila kumlipia mahari mtu si sawa
Unaweza ukawa una hoja ambayo ikijadiliwa katika muktadha mwingine ika sound reasonable lakini hoja hiyo hiyo isiweze kufaa kwenye taswira ya kidini na mambo ya kiroho.Mtoa maoni alikuwa na hoja. Kuwafungisha watu ndoa ni kitu chenye faida? Hauoni idadi ya ndoa zinazovunjika kila siku hapa nchini? Kwa Dar peke yake ndoa 300 huvunjika kwa mwezi.
Mwanaume lazima apatiwe mtihani wa kutoa mahari na kugharamia harusi. Akishindwa hiyo ndoa itayumba tu.
Ukiwa kwenye ndoa bado ukazini hilo ni juu yako ww na mungu wako ww ndo utajua utakavyo jibu mashitaka mbele ya mora wako.Unataka kusema walio kwenye ndoa hawazini? Takwimu zinaonesha michepuko mingi sana kama siyo yote inahudimiwa na wenye ndoa
hapo ni dhahiri kuwa chuki za kidini ndiyo zinazokusumbua.Yaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?
Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Sio mahali ni mahari mkuuMimi siwezi kukubali kulipiwa au kuchangiwa Mahali hata shilingi 1.
Huyo wanamke wa Bure hivyo atakuwa sio mwanamke!!!!
WAISLAMU mnafeli sana
Tofauti ya ukahaba na ndoa zenye talaka ni ndogo sana.Dini yako pengine kwenye mfumo wa ndoa hakuna exit door na ndio maana unaona kitu cha ajabu ndoa kuvunjika.
Kwenye uislamu kuna talaka, swala la ndoa kuvunjika kwao limepewa uhalali. Wao wameona ndoa sio kifungo cha kumfanya mtu aone akiingia hawezi kutoka hivyo abaki kuishi maisha yake yote kwa unafiki ili kuwafurahisha watu
Hawa ni negativist! Appreciate wanachokiamin mana huwez badilisha kituSometimes muwe-positive mnatoa appreciation bila kujali utofauti wa mitizamo yenu ya kidini. Sio kila time niku-criticize tu hata kile kitu ambacho kinaoonekana kuwa na faida.
Swala la ndoa sio uzinifu mzee
ππππ€£πππ
Huwa akili zote zinaishia madrasa, madarasani hawaendiSio mahali ni mahari mkuu
wanipe mahari nikalie makange TabataHuu ndo Muda wa Kupata mke naomba dronedrake jumanne vaa kanzu lako uje twende mwembe yanga kujipatia mahari ili tuoe
πππ Mimi ntachukua then hiyo pesa ntaitumia kula batawanipe mahari nikalie makange Tabata
KATAA NDOA