obkato
Member
- Jun 20, 2012
- 9
- 1
yule sheikh wa bakwata huyo sawa kuongea hayo maneno mwenzake jongo alilia kabisa huyu akulia kweli.
alikuwa anasoma kweye karatasi manenoaliyoandikiwa.wakulauuwa ni yule aliyempa.ila kazi ipo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yule sheikh wa bakwata huyo sawa kuongea hayo maneno mwenzake jongo alilia kabisa huyu akulia kweli.
Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au kikundi cha watu wenye nia ovu kutumia maneno ya lukuvi kisiasa na kiimani alisema sheikh.hi ni kwa mujibu wa magezeti asubuhi rfa
Ni kweli kbs
Nadhani ni wakati sasa watu wafikie kuitambua historia ya kweli ya nchi hii
Wapo wanaodhani tukisema haya sisi tunachuki na nyerere kwa ajili ya ukristo wake la hasha
Tunadadavua mziz wa kile kilichotufikisha hapa ili tuweze kupanga namna ya kusonga mbele
Huwez kusonga mbele ili hali kuna mashimo na nyufa zahitajika kuzibwa
Chukulia mfano nyerere alivyotusimikia sisi waislam bakwata bila hata ya idhin yetu
Kweli tukisimama na kusema tuonekane tuna chuki tuh dhidi yake??
Kuna vitu kavifanya vina ukakasi sana
Bakwata ilianzishwa na Nyerere. Kuuwa Uislam Tanzania kama alivyoiua Tanganyika.
Lissu hajawapa hili somo? Maana sisi tukiwapa darsa hamkubali.
Msaka tonge tulisha mzoea hakusikitika kukojolewa quruani litakuwa hili la lukuvi
sio huyo huyo nae pia kilaza naye....Sheikh wa mkoa anaitwa Alhad Musa umenipata.
asikitike kwani quruani ipo hio moja tu iliyokojolewaaa
alikuwa anasoma kweye karatasi manenoaliyoandikiwa.wakulauuwa ni yule aliyempa.ila kazi ipo!
Hapa ndipo namkumbuka sana Sheikh Ponda.
Nyie sio wammoja kabisa....Mmeparanganyika....Kila mtu anaropoka lake......Haya sasa ngoja tuendelee kuona mnavyorukaruka..
Nia ni kuangalia ni kweli Mwalimu Nyerere aliacha taifa lisilo na udini, lenye mshikamano wa kweli na umoja?:Pia serikali ya Kikwete itaanzisha mahakama ya kadhi, kwa kuwajengea waislamu mahakama ya kadhi kila mkoa na kuwalipa mishahara makadhi wote wa mikoa kwa lengo la kuwadhibiti Waislamu! Aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi.
Unategemea nini kutoka kwa Shee mkuu wa Chama Cha Mashetwani ,halafu huyu jamaa hana elimu kabisa ni pangupakavu.Sasa atutafsirie aliyosema Lukuvi maana Lukuvi msamiati na lahaja ambazo Shee anatuona hatukuelewa kitu.