Sheikh mkuu mkoa wa Dar aonya maneno ya Lukuvi kutafsiriwa vibaya

Sheikh mkuu mkoa wa Dar aonya maneno ya Lukuvi kutafsiriwa vibaya

yule sheikh wa bakwata huyo sawa kuongea hayo maneno mwenzake jongo alilia kabisa huyu akulia kweli.

alikuwa anasoma kweye karatasi manenoaliyoandikiwa.wakulauuwa ni yule aliyempa.ila kazi ipo!
 
Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au kikundi cha watu wenye nia ovu kutumia maneno ya lukuvi kisiasa na kiimani alisema sheikh.hi ni kwa mujibu wa magezeti asubuhi rfa

Sasa wewe Sheikh Mkuu wa DSM uliyemuelewa VIZURI Lukuvi si utututafasirie sisi tuliomuelewa vibaya kuondoa hii sintofahamu! On a serous note, kama Sheikh anataka kupindisha maneno mchana kweupe, kwanini tusianze to question his credibility katika kuwaongoza waumini wake?
 
Laana ikiwasibu viumbe basi hujikwaa kwenye ndimi zao mbaya.
Hata mafarisayo walipokuwa wakimkwaza Bw.Yesu walikuwa hivi hivi.
Ndipo Yesu alipo panda jukwani akasema
"Ole wao watoto wa nyoka,Ole wao kizazi hiki cha zinaa".
Kila ajae na kweli kwenu ni adui, Huyu Shekhe ni kama Farisayo wa zama za Yesu,Kazi yao kupindisha
maneno ili uwongo uonekane ni kweli.Ole wao Madhalimu.Lukuvi Hakulaaniwa na waislamu Tuu,bali hata Wakristo waliowakweli na wapenda haki wamemlaumu.Lukuvi ni mbaguzi,Mchochezi,Mbinafsi na Inaonesha ana viasili vya uuwaji.Kama asingekuwa kiongozi na asingekuwa na kazi na asingesoma basi angelikuwa Mchunuji wa ngozi za watu.
 
Naam khabari ndio hizi:

Ni kweli kbs

Nadhani ni wakati sasa watu wafikie kuitambua historia ya kweli ya nchi hii
Wapo wanaodhani tukisema haya sisi tunachuki na nyerere kwa ajili ya ukristo wake la hasha

Tunadadavua mziz wa kile kilichotufikisha hapa ili tuweze kupanga namna ya kusonga mbele

Huwez kusonga mbele ili hali kuna mashimo na nyufa zahitajika kuzibwa

Chukulia mfano nyerere alivyotusimikia sisi waislam bakwata bila hata ya idhin yetu

Kweli tukisimama na kusema tuonekane tuna chuki tuh dhidi yake??

Kuna vitu kavifanya vina ukakasi sana

Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nyerere-katuachia-tanzania-yenye-amani-2.html
 
Bakwata ilianzishwa na Nyerere. Kuuwa Uislam Tanzania kama alivyoiua Tanganyika.

Lissu hajawapa hili somo? Maana sisi tukiwapa darsa hamkubali.

Pia serikali ya Kikwete itaanzisha mahakama ya kadhi, kwa kuwajengea waislamu mahakama ya kadhi kila mkoa na kuwalipa mishahara makadhi wote wa mikoa kwa lengo la kuwadhibiti Waislamu! Aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi.
 
mashekhe hawa ni sawa na mafarisayo hawa
Matha:23:24-25 " Viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza ngami " Ole wenu Waandishi na Mafarisayo, Wanafiki kwa kuwa mnasafisha nje ya kikombe ,na ndani yake vimejaa unyanganyi na kuto kuwa na kiasi "

Mathayo:16:6 Yesu akawaambia(wanafunzi wake) "Angalieni jilindeni na chachu ya Mafarisayo Na Masadukayo"

Hizi ni propaganda za mashekhe Kanzu muwatetea mafisadi CCm ili waendelee kuneemeka kupewa magari na heshima ya ukubwa kwa vyeo vya muungu ilhali hawana elimu wala ucha mungu.Matumbo yao ndiyo yanayowapelekea kuwatetea Mafisadi kama Lukuvi na Asha bakari bibi wa kuufyata Domo chafu kama hoo kwa matusi.
 
Laana ikiwasibu viumbe basi hujikwaa kwenye ndimi zao mbaya.
Hata mafarisayo walipokuwa wakimkwaza Bw.Yesu walikuwa hivi hivi.
Ndipo Yesu alipo panda jukwani akasema
"Ole wao watoto wa nyoka,Ole wao kizazi hiki cha zinaa".
Kila ajae na kweli kwenu ni adui, Huyu Shekhe ni kama Farisayo wa zama za Yesu,Kazi yao kupindisha
maneno ili uwongo uonekane ni kweli.Ole wao Madhalimu.Lukuvi Hakulaaniwa na waislamu Tuu,bali hata Wakristo waliowakweli na wapenda haki wamemlaumu.Lukuvi ni mbaguzi,Mchochezi,Mbinafsi na Inaonesha ana viasili vya uuwaji.Kama asingekuwa kiongozi na asingekuwa na kazi na asingesoma basi angelikuwa Mchunuji wa ngozi za watu.
 
Hapa ndipo namkumbuka sana Sheikh Ponda.

Nyie sio wammoja kabisa....Mmeparanganyika....Kila mtu anaropoka lake......Haya sasa ngoja tuendelee kuona mnavyorukaruka..

Wewe Tedo ndo una kauli za kichochezi kama Lkv, Kwa akili yako we ulitaka Waislamu wote wamwuunge mkono Sheikh wa Dar kwa maneno yake na kinyume cha hivyo wanaosema ukweli we unawabana na kauli yako eti waislamu wameparaganyika - is it fair? Kwa maana nyingine ili waonyeshe mshikamano lazima wamuunge mkono Sheikh!

Tafadhali muwe mnatafakari kabla ya kupost kwenye mada sensitive kama hizi. Big up Ritz kwenye uzi huu ingawa mara nyingi huwa tunatofautiana.
 
Masheikh kama hawa ndio huwa wanatutukanisha waislam, Lukuvi aliongea black and white (live) kuwa kama Zanzibar itapata uhuru kamili itakuwa nchi ya Kiislam na kuwa ugaidi utaongezeka (kwa maana ya kuwa kwa tafsiri yake Uislam ni Ugaidi) na kuthibitisha maneno yake ndio maana akaiuganisha CUF na Uamsho! kwa hiyo huyu sheikh anasadiki maneno ya Lukuvi kuwa Uislam ni Ugaidi? huu ni msiba mkubwa lakini Allah mwenyezi Mungu alishatuona na wanafiki, kuwa wakiwa nanyi wanasema sisi ni wenzetu (tuko pampja nanyi), mkiondoka wanasema aaaah tunawachezea shere tu!
 
Pia serikali ya Kikwete itaanzisha mahakama ya kadhi, kwa kuwajengea waislamu mahakama ya kadhi kila mkoa na kuwalipa mishahara makadhi wote wa mikoa kwa lengo la kuwadhibiti Waislamu! Aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi.
Nia ni kuangalia ni kweli Mwalimu Nyerere aliacha taifa lisilo na udini, lenye mshikamano wa kweli na umoja?:

''But before the conference Kikwete went on record to complain that the secretary of the party Dr. Lawrence Mtazama Gama, a Catholic, and hailing from the south like Mkapa was undermining his campaign on religious grounds. Nyerere who had earlier and eloquently promised him that he would take care of religious sentiments for Kikwete, was suddenly dead silent. For a time it seemed as if the party was to engulf into a religious crisis involving its own top leadership. Religion was a sensitive issue and CCM had always maintained that the party did not discriminate its members on religious grounds. The conflict between Kikwete and Gama was an embarrassment to the party. In a strange turn of reconciliation effort CCM issued a statement that Gama had apologised to Kikwete. It is a pity that Kikwete did not reveal what religious issue became the source of conflict that the party had Gama to apologise. The thought of Gama apologising to Kikwete was a humiliation to Gama not only because of his seniority but because of other factors...''

Soma zaidi: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nyerere-katuachia-tanzania-yenye-amani-4.html
 
Unategemea nini kutoka kwa Shee mkuu wa Chama Cha Mashetwani ,halafu huyu jamaa hana elimu kabisa ni pangupakavu.Sasa atutafsirie aliyosema Lukuvi maana Lukuvi msamiati na lahaja ambazo Shee anatuona hatukuelewa kitu.
 
Hana elimu, na busara pia hana. Mambo mengine ni heri kukaa kimya.
 
Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au kikundi cha watu wenye nia ovu kutumia maneno ya lukuvi kisiasa na kiimani alisema sheikh.hi ni kwa mujibu wa magezeti asubuhi rfa

Kama shekhe ni wa bakwata, hilo ni tawi la kanisa na c cm . Full stop
 
Mungu anasema ktk vitabu vitakatifu kuwa, waheshimuni wale wenye mamlaka juu yenu! Watanzania jifunzeni kuwaheshimu viongozi wenu hata kama wamekosea , tuoyeshe alipo kosea kwa hoja sio matusi
 
Back
Top Bottom