Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atenguliwa

Hapo Dr Mwaka katembeza pilau kwa wazee wa ubwabwa wamwage mwenzao...

Mwosha huoshwa!! Alhadi Mussa Salum alipenda sana ubwabwa, alikua tayari hata kutoa roho wenzie kisa ubwabwa... leo ubwabwa umemng'oa mamlakani.
 
Hongereni BAKWATA Kwa uamuzi huo.
Shekh alivuka mipaka.
 
Hapo Dr Mwaka katembeza pilau kwa wazee wa ubwabwa wamwage mwenzao...

Mwosha huoshwa!! Alhadi Mussa Salum alipenda sana ubwabwa, alikua tayari hata kutoa roho wenzie kisa ubwabwa... leo ubwabwa umemng'oa mamlakani.
Tafadhali mkuu Rungwe kakasirika sana baada ya kuiona hii post yako kuhusu ubwabwa
 
Leo tarehe 2/2/2023 baraza la waislam tanzania BAKWATA limemvua cheo cha ushekhe wa mkoa wa daresalam aliyevunja ndoa ya dk mwaka,

Nakumbuka alishawahi kumwambia mange kimambi atamsomea dua uzulike
Kama ni kweli fisadi na wababaishaji wamerejea madarakani ngazi zote. Huyo mwaka anayejidai ni daktari msomi hawezi kusababisha shekhe wa mkoa wa dsm avuliwe madaraka.
 
Rafiki yake Makonda😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…