Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe endelea kufakamia mbege hapo kilabuni
😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂Kapata talaka yake
Tafadhali mkuu Rungwe kakasirika sana baada ya kuiona hii post yako kuhusu ubwabwaHapo Dr Mwaka katembeza pilau kwa wazee wa ubwabwa wamwage mwenzao...
Mwosha huoshwa!! Alhadi Mussa Salum alipenda sana ubwabwa, alikua tayari hata kutoa roho wenzie kisa ubwabwa... leo ubwabwa umemng'oa mamlakani.
Kuna mwaka alisemaga mange hangeumaliza....😂😂Mange bwanaako aliyekuomba kinyume ametenguliwa huku njoo u comment
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hakuwa chawa tu bali ndio alikuwa mganga wao Jiwe na Bashite!Tulia wewe acha wamnyooshe
Kipind cha jiwe alikua chawa sana
Alijisahau akajua mwendazake yupo nchiniDuuh ...kumbe u sheikh ni Kama ukuu wa wilaya tu, ukizingua unatumbuliwa
Ànalipizia kwa mujibu wa Mange Kimambi.Nasikia huyu bwana wake zake wanamkimbia anapenda kwa mpalange Sana , Na kila mwanamke anaeolew lazm akupigwe nyuma kwa mpalange
Kama ni kweli fisadi na wababaishaji wamerejea madarakani ngazi zote. Huyo mwaka anayejidai ni daktari msomi hawezi kusababisha shekhe wa mkoa wa dsm avuliwe madaraka.Leo tarehe 2/2/2023 baraza la waislam tanzania BAKWATA limemvua cheo cha ushekhe wa mkoa wa daresalam aliyevunja ndoa ya dk mwaka,
Nakumbuka alishawahi kumwambia mange kimambi atamsomea dua uzulike
Kama anafanya ujinga achekewe tuu?Mnafaidika nini kushangilia anguko la mwenzenu?
Rafiki yake Makonda😅😅UTV wanalipoti muda huu kuwa shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alhaji ISSA salimu ametolewa kwenye nafasi yake sio tena shekhe wa mkoa
Baraza la waislamu BAKWATA limfuta kazi kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa
Juzi vyombo vya habari hapa nchini vilimnukuu akisema yeye augombani uongozi wa juu wa BAKWATA wa kitaifa
Huu isiwe ile vita na mke wa mtu na wale Maulamaa walivyomkalia kooni
USSR
View attachment 2504080