Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

Uislamu sio kama ukristo,ukristo uko umegawanyika madhehebu mengi sana,hata salamu wanatofautiana,kuna Bwana Yesu asifiwe na Tumsifu Yesu kristo,unafikiri wanaweza kuwa kwenye chuo kimoja.Ulizia ajira katika vyuo hivyo,kama utamkuta mwalimu au mfanyakazi wa dhehebu jingine labda awe mfunga milango.
 
Kusalimiana kwenu tu kuko tofauti kuna Bwana Yesu asifiwe na Tumsifu Yesu kiristo.Ndio wataka kuniambia hamna utofauti.
Vijana wa Bwn Mudy Hamna akili, ndio maana hamuitaki elimu na elimu haiwataki

Unazungumzia salamu tu?[emoji23][emoji23][emoji23]

Ninyi mnavyotofautiana BAKWATA, BALUKTA , mpaka mnalialia tu kila siku kama watoto wadogo kuhusu BAKWATA

Mtabaki kuwa wa kulalamika na ubishi usio na maana mpaka siku ya mwisho
 
Ewe bin Muddy wacha Urongo weyeee
 
Wanawaangusha vp Wakati mitihani inafanywa kwa namba?
Kila mwenye namba kwenye karatasi ya uhakiki kuna majina 3 ya mtahiniwa anapoweka saini kuthibitisha amefanya mtihani.

ndalichako iliwahi kutolewa madarakani na team yake yote endapo kumbukumbu ipo sawa.
 
Hizo ni Taasisi sio madhehebu,tofautisha Taasisi na madhehebu.Wote hao ni Sunni.Povu ruhsa.
 
Bakwata ni taasisi kwel lakin si Kwa minajil ya waislam Kwanza muanzilishi wake si muislam dhima zake si za kiislam viongozi wake ni waislam lakin wanatumikia serikal na wanalipwa mishahara.
 
Hii Nchi inawasomi wengi sana ila kutengeneza hata sindano hawawezi
 
Huu uzi kuna huyu jamaa Tangantika ameutendea haki sana, anatumia lugha nyepesi sana inayoeleweka vyema sasa sijui kwanini mtu unaamua tu una-crush hoja kwa kutumia hoja ambazo umeshaambiwa mapema kwamba kwa wakati huu tunaoishi zipo outdated ila wewe unang’ang’ana ndo sahihi.

Tatizo watu, wengi wetu hata penye ukweli tunapenda sana kutia ugumu.mie sitakuwa biased,hoja hai zizingatiwe though aliyeshauri hivyo dhahiri shahiri inaonekana hii ndo imani yake na kusoma kwake kumemfungua akili amefanikiwa kuona kosa lilipo so mawazo yake yachukuliwe yale yanayofaa yafanyiwe kazi,mtu asijidanganye kwamba kuna siku atazuka mtu kutoka nje yenu kuwakumbusha haya muhimu hawa wachache waliofunguka hawa hawa wawekwe front line.

Kwa sasa ni hayo!!!
 
Wana chuo kinaitwa MUM kilichojengwa kwenye jengo la TANESCO walilopewa na Hayati BW Mkapa.
Unaonekana kuwa hata hujui waislam walipewa majengo ya Tanesco kufungua chuo. Hili lilikuwa changa la macho ili kuwaziba mdomo baada ya Wakatoric kupewa/kurejeshewa majengo ya iliyokuwa shule ya Forodhani DSM, Walutheri kupewa majengo ya iliyokuwa Magamba secondary Lushoto na Anglican kupewa majengo ya iliyokuwa Mazengo secondary ilipo St. Jonh's University Dodoma. Kwa aibu ikamlazimu Mzee Mkapa kuwapa waislam majengo ya Tanesco. Lakini lengo kuu hasa ilikuwa ni Wakatoric kupewa Forodhani, wengine walikuwa by the way.
 
Laiti ushauri huu ungesikilizwa na kufanyiwa kazi, tungeondokana na malalamiko ya kipuuzi ya udini ambao kwangu nauona kama uduni.
 
Huwezi shindana na kanisa kwenye maswala ya elimu
 
Uko sahihi San mm leo Ni mluther lkn Ni vigumu Sana mmkutimba kwenye taasis za Catholic kupata Kaz uwez Pat ata Kam una uwezo wa kutisha hupati haki mungu uatapata katk dhehebu lako hvyo Kuna tatizo Apo Kama taifa Sana waingilie kati kuchanganya watu wa dini tofauti tofaut katk taasis wanazomiliki wao ..baba ulipotaja Apo Ni majanga apo mleta uzi c wa bwan asifiwe Ni tofauti kabsa na tumsifu yesu kristo nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…