Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

Hizo ni rumours za kawaida za Waislam na tulishazizoea, wao ni kuonewa onewa tu na kulalamika kila siku

Watoto wa mama mdogo punguzeni lawama
Sio lawama mkuu, sasa hivi tutapita wilaya kwa wilaya, mkoa kwa mkoa, wizara kwa wizara ili kurekebisha kasoro za kidini kwenye uteuzi na ajira. Kama kuna wakuu wa wilaya 20, mgawanyo utakuwa 10 wakristu na 10 waislam, hivyo hivyo kwa mikoa, mawaziri, wakurugenzi, ma RAS, nk
 
Kumbe walirudishiwa iliyo halali yao? Na nyie ombeni mrudishiwe vya kwenu
Kwanini wavizie hadi awepo Mkatholic kwenye kiti? Kama ni haki yao kwanini wasiidai hadharani mchana kweuoe?
 
You are very right, ndio maana tunamkumbusha Mufti kugeukia elimu dunia zaidi kuliko ilmu akhera ambayo inawapa changamoto vijana wake.
 
Na Wahindu? Na Wapagani?
 
Kama Bakwata haitaacha kuwa chombo cha kisiasa waislamu watakuwa wasindikizaji milele kwenye taifa lao. Hali ya waislam inatisha sana, kuna taasisi za umma zinafungua mikutano yao kwa sala kwakuwa wengi ni dini moja tu.
Kufungua kwa sala ni jambo la kawaida, labda useme ni sala yenye mrengo wa kidini, hapo si sawa
 
Eti wakawafata wasitishe mara moja. Hii kahawa mbona inachemka kwenye kikombe?
 
Kufungua kwa sala ni jambo la kawaida, labda useme ni sala yenye mrengo wa kidini, hapo si sawa
Angepaswa kuombea viongozi kweli, kakini humohumo awe anachomekea maswala ya haki za waislam wake kwenye ajira, teuzi na elimu. Hakuna MTU mwingine wa kuwasemea waislam wake kwenye mambo mbalimbali ya maskahi yao. Anapaswa awe na takwimu mbalimbali kwenye mashule, kwenye maofisi, bungeni, serikalini, mahakama, na sehemu nyingine zote ili aone haki ya watu wake inavyoporwa au kudumishwa.
 
Ili kujua kuwa nyoka hana miguu unahitaji kufanya research?
Just answer the questions kitendo cha kushindwa kujibu maswali yangu yaliyoegemea kwenye mada yako ni evidence tosha hujui ulichokiandika.
No research no rights to speak.
Au ulichokiandika kinakuwa opinions na fallacy.

Je nikikwambia hii mada yako imeegemea kwenye religion hypocrisy utakataa?

Answer my questions.

Leta research ulivyofanya mpaka kufikia hii conclusion...?

Na unadhani tatizo ni wingi wa shule au tatizo ni mfumo wa elimu?
 
Kuwafahamu wazazi wako ilifanya research gani?. Kuna vitu ambavyo ni facts visivyohitaji utafiti, chukua kalamu yako ya pencil na uanze kuorodhesha wakuu wa wilaya, mikoa na mawaziri tu ili kujua religious background zao. Au nenda kwenye chuo kikuu kimoja
 
Let me make it a little short.

Umefanya research? Au hujafanya research?
 

Wewe akili mgando kweli, umesahau kuwa udini ukiowabagua waislamu kwenye elimu, ajira na uongozi ulikuwa ni mkakati toka Enzi za mkoloni na ukaendelezwa baada ya uhuru na Uko mpaka sasa, huu unaitwa systemic discrimination na ipo sana, na waislamu walishapiga kelele huko nyuma lakini inaonekana kama ni kuleta udini kwa hiyo subject inapuuzwa kwa misingi hiyo, ila iko siku itakuja lipuka cos its a time bomb na kuna kundi la watu watakuja ku hijack kwa njia mbaya kama halitakuwa adressed kwa uwazi
 
Unapoona waislamu wanasaidiwa na wakristo kujenga misikiti mizuri ujue kuwa dharau na kejeli dhidi ya waislam imekomaa kupita kiasi.

Maana yake wakristo wanaweza kujenga makanisa yao mazuri kakini waislam hawawezi. Wakristo wana
 
Fanya research ili ujue una kaka na dada wangapi kwenye familia yako kisha unitag
Don't tell me you're actually trying to run away from your own topic.

Just answer the goddamn questions.

Au hii mada yako ni obviously reckless na imebase kwenye religious hypocrisy and prejudice.

Na hii inaonyesha nini kipi kwenye kichwa chako na bila shaka kilichopo kichwani kwako kinashawishi hiki ulichokiandika ni nonsense.

Jibu hayo maswali usikimbie au unazidi kujichora wewe na uwezo wako wa kufikiri.
 
Kuna vitu ambavyo havihitaji statistical tests maishani, just simple majority na frequency, prevalence na percentage vinatosha kutoa rat smell. Unafahamu wazi kuwa ukifanya research ya aina hiyo hutapata approval (IRB) ya protocol yako. Lakini hata dissemination utakwenda kuifanyia wapi na utaipublish kwenye journal IPI.

Wewe huna weledi hata kidogo ya unachoking'ang'ania cha kufanya utafiti. Inaonekana kuwa you are one part of the problem.

Hujui kwamba hata swali LA dini lilipigwa marufuku kwenye dodoso LA kuhesabu watu (sensa)?
 
Unapoona waislamu wanasaidiwa na wakristo kujenga misikiti mizuri ujue kuwa dharau na kejeli dhidi ya waislam imekomaa kupita kiasi.

Maana yake wakristo wanaweza kujenga makanisa yao mazuri kakini waislam hawawezi. Wakristo wana
Daah, aisee jamaa hii ni too much. Kwahiyo Wakristo wanapowasaidia mchangp wa kujenga Masjid ni kuwa wanawadharau sio?

Kumbe kuna mdau alisema hamna Shukran kweli alipatia.
 
Kwani huyo Mufti wa Bakwata ( ikumbukwe si wa Waislam wote ) , amesoma hadi wapi ?
 

Daah, aisee jamaa hii ni too much. Kwahiyo Wakristo wanapowasaidia mchangp wa kujenga Masjid ni kuwa wanawadharau sio?

Kumbe kuna mdau alisema hamna Shukran kweli alipatia.
Endangered species ndizo zinasaidiwa kusurvive. Hakuna MTU mbaya kwa muislam kama MTU asiyeswali. Sasa kama MTU asiyeswali wala kumuamini Muhamad akikujengea au kukuombea msikiti inakuwaje. Kama reciprocal haionekanaki kuna jambo hapo. Yaani waislam pia wanapaswa kuchangia ujenzi wa makanisa kama sio hivyo kuna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…