Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

Status
Not open for further replies.
mkuu gombesugu,
nipo hapa saa hii namtizama mbowe,kuna wakati alisema;namnukuu rondemly.alisema "mwl nyerere alikubari kukosolewa,hata yeye mwenyewe alikiri kuwa kuna makosa yalifanyika ktk utawala wake....".
that being quoted,sidhani kama ni sahihi kuhisi tundu lissu katumwa na mzee edwini mtei kumkosoa nyerere.sio jambo la ajabu kwa wanachadema kumkosoa nyerere.

Mkuu Kadoda,

Wafahamu mie nakustahi mno mjukuu wangu!

Sasa siku nyangine usiniletee kabida quote/s za yule kilaza Mbowe! Daah!

Mkuu,huyo Mbowe mie binafsi namfahamu kiundani mno nae pia ananifahamu vizuri mno!

Mbowe anaitumia ile Chadema kimaslahi yake binafsi zaidi...yaani kwake yeye ile Chadema ni kama branch tu ya Billicanas...yaani biashara kwenda mbele!

Mbowe ni Mafioso mkubwa sana...wewe unafahamu kiundani ni ufidadi na ubadhilifu wa namna gani huyo Mbowe amefanyia na mpaka kesho bado anafanyia hizo Banks hapo nchini,and other financial institutions!? Daah!

Ndo maana Mkuu...mie sioni crediblity wala integrity yoyote ile walio nayo hao Viongozi wa ngazi za juu wa Chadema!?

Kwa kifupi,kama alivyosema Mkuu Ritz jana nafikiri...yakua hao Chadema woote role model wao ni CCM!...sasa hayo mabadiliko au siasa mbadala zitatokea wapi!? Daah!
Mkuu jitambue..nwakti ndo huu
 
Last edited by a moderator:
Kadoda11 na weye msukule wa Kihehe aka Yericko Nyerere,

Nakuulizeni tena kwa mara nyangine...je mnakubaliana na maneno ya Mbunge wa Chadema Tundu Lissu!?

Yakua yule Nyerere aliishi maisha ya kilaghai,kinafiki,vitisho na vitisho!?

Yaani kwa mujibu wa Tundu Lissu...inamanisha yakua yule Nyerere alikua hana tafauti na matapeli/majambazi...Papaa Musofe na Alex Massawe!? Duuh!

Duuh! Kweli safari hii Dodoma kimenuka! Wananchi wanataka ukweli tu na washachoka kuwa misukule ya Nyerere!?

Ahsantani sana.
 
Shukran Kamanda nimekusoma!

Hivi ni kweli hizi khabar zilozagaa mjini hivi sasa...yakua Muheshimiwa Tundu Lissu ametumwa na mmiliki wa Chadema Bwana Edwin Mtei...katika ule muendelezo wa ile hasama ya myaka mingi baina yake na Baba Wa Taifa!?...yaani kwa kifupi Tundu Lissu anatumika tu kwa maslahi binafsi ya Mtei,au!? Daah!

Mkuu Kadoda...vipi weye binafsi una maoni yapi kukhusu hizi shutuma za Lissu kwa Baba Wa Taifa!?

Yaani unakubaliana na Lissu yakua Nyerere aliishi maisha ya kilaghai,vitisho,unafiki,uzandiki na dhuluma!? Daah!

Yaani kwa mujibu wa Tundu Lissu...inamaanisha yakua yule Nyerere alikua hana tafauti na Papaa Msofe au jambazi Alex Massawe!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Hivi Dr Slaa atakubali kweli kumuachia ugombeaji wa Rais huyu Lissu...najua karibuni kitanuka pale Ufipa!? Daah! Teeh! Teeeh! Teeeh!

Nakutakia siku njema mjukuu wangu kipenzi

Ahsanta sana!

Aliyeandika hapa ni Viroba sio wewe pls gombesugu ukija ndo uedit account yako imehakiwa na viroba vya zanzi!!!
 
Asalaam aleykum Al-Akh,

Sheikh Mohammed Said kwa muda mrefu tumekuwa tukijadiliana kwa marefu na mapana kuhusu historia ya Tanzania. Ukaleta kitabu cha life and times of Abdulwahid Sykes watu wakakubeza. Kikaja kitabu chengine cha the Rise of Muslim Militants wakakubeza. Ukweli umeanza kujitokeza bungeni sasa baada ya Tundu Lissu kumwaga hadharani mtama kuwa kiini cha Tatizo la nchi hii ni nani na kwanini? Na mambo yanavyozidi kwenda mbele nadhani mengi yatajitokeza hadharani. Kassim Hanga alivyokuwa ametamkwa nilitokwa na machozi kwani kwa muda mrefu watu wamekuwa wakiogopa kusema what happened to this person na who is responsible for his death. Na wengineo wengi.

Binafsi nakupa hongera ukweli umeanza kudhihirika. Na akina Nguruvi, Mwanakijiji na wengineo mtakeni Radhi Sheikh Mohammed kwa kumbeza na usoni mambo yatazidi kuja hadharani na mchakato wa katiba hii.Nilikuwapo!
Tumtake radhi kwani alieleza nini cha maana?
Haya yote yanayozungumzwa sasa tumeyajadili. Labda nikueleza tofauti moja ya Lissu na Mohamed, Lissu anaongea kwa data na vithibitisho. Mohamed Said anaongea kwa hisia 'inasemekana, imesemwa, nilisikia, ati, huenda' n.k.

Nitake radhi upotoshaji,fitna na uzushi, ebo! nidhalilishe uwezo wangu wa kufikiri !
Tadhali nitake radhi kwa kunihusisha na mada za MS
 
Ninachoshauri ni kwamba... Tuishi leo, tusiishi the past. Nyerere sio mungu. Ana makosa yake na yanahitaji suluhisho kwnye mchakato huu wa katiba.
 
Tumtake radhi kwani alieleza nini cha maana?
Haya yote yanayozungumzwa sasa tumeyajadili. Labda nikueleza tofauti moja ya Lissu na Mohamed, Lissu anaongea kwa data na vithibitisho. Mohamed Said anaongea kwa hisia 'inasemekana, imesemwa, nilisikia, ati, huenda' n.k.

Nitake radhi upotoshaji,fitna na uzushi, ebo! nidhalilishe uwezo wangu wa kufikiri !
Tadhali nitake radhi kwa kunihusisha na mada za MS

Mohammed Said alikupa data ulizikubali? Alikuletea vithibitisho ulivyokubali? Ajabu sasa akivitoa Lissu unavikubali je ni kwanini?
 
Aliyeandika hapa ni Viroba sio wewe pls gombesugu ukija ndo uedit account yako imehakiwa na viroba vya zanzi!!!

Daah! Teeeh! Teeeh! Teeh!

Yaani Mkuu umenifanza nicheke pasi kiasi! Daah! Haya bana!

Yaani unenikumbusha kipindi kile account ya Mzee Slaa humu-JF, ilipokua inatumika na Dadaetu Josephine Mshumbuzi...na kuwatukana wapinzani wa fikra za Bwanake!? Daah!

Ahsanta sana.
 
Mohammed Said alikupa data ulizikubali? Alikuletea vithibitisho ulivyokubali? Ajabu sasa akivitoa Lissu unavikubali je ni kwanini?

Achana na huyo kilaza wa Kibondei aka Nguruvi3!

Wala asikuumize kichwa...huyo ni mdini alokubuhu,anaejificha nyuma ya ati pazia la uzalendo! Daah!

Si unaona hata majibu akupayo jinsi yalivyojaa uzandiki na unafiki kama yule Nyerere wao!? Daah!

Ahsanta.
 
Nyie wafia dini acheni unafiki si kila siku mnasema kwamba Chadema chama cha Wakristo leo wanaume wanamwaga nondo za ukweli mnajitia kimbele mbele.Mkafie mbele huko na udini wenu.Hamna pakushika sasa hivi baada ya lichama lenu kutaka kuibaka katiba.Tulieni mtetewe ndo mtajua nini faida ya Chadema na vyama vya upinzani kwa ujumla.cc Ritz na mbululas wenzako wote.
 
Last edited by a moderator:
Mnataka kumpaisha tu yule mfitini wa kimanyema kwa kuhusisha na aliyosema Lissu. Rejeeni mijadala ya huko nyuma ya huyo nabii wenu wa kimanyema, masimulizi yake yamejaa hisia nyingi ambazo ndizo alikuwa anazitumia kuleta chuki za kidini. Na hayo ndiyo tuliyokuwa tunampinga.
Ati tumwombe msamaha, msamaha my foot!
 
Mohammed Said alikupa data ulizikubali? Alikuletea vithibitisho ulivyokubali? Ajabu sasa akivitoa Lissu unavikubali je ni kwanini?
Prove kwamba nimevikubali mahali.
We are open minded, hatumezi kwa kusikia tu. Mtu akija na takwimu tunaziangalia, akija na hekaya ngano na simulizi za mababu tunamrushia za usoni! Unataka niamini 'ikisemwa, inawezekana, baba alikuwepo, alikula nyumbani nasikia, nilimsikia ayoub kinyozi akisema' kha!

Nitakubali vipi Karume alilala nyumbani kwenu kama hujui hiyo tarehe!
My message is simple and clear, sibebi au kumeza ngano au hekaya bila tafakuri.

Tumeyaangalia maandiko ya MS critically na kuona upotoshaji mwingi. Leo unataka nimuombe radhi kwa kusema balozi wa Marekani alihutubia bunge, ebo! Kwanini usimwambie aende Ibadan kuomba radhi hadhra ya kimataifa aliyoisokomezea ulaghai.

Mtu mwenye uthubutu wa kudanganya tukio la miaka 10 iliyopita unamwani kwa lipi kwa miaka 40 au 50 iliyopita! tafadhali bwana mdondoaji! Sisi wengine wenye matumizi ya vichwa kufikiri hatubebi mzigo kichwani bila tafaakur.ebo!
 
Wee Nanren,Nguruvi3 na kenge wenzenu!

Acheni amma punguzeni kebehi japo kiduchu!

Maiti ya Baba yenu wa Taifa leo inavuliwa nguo hadharani na yule kilaza wenu wa Kinyiramba!

Kwa kifupi,nyinyi misukule nyoote safari hii mtakula kibri na jeuri zenu za kinyama! Mmejawa na chuki na hasada tu!

Hakuna jipya lolote au la maana alilosema yule Mnyiramba wenu pale Dodoma...lakini mmeamua kumeza kwa haraka haraka sababu ya udini wenu...mpo tayari kumeza uharo wowote na kwa gharama yoyote ile,sababu tu ya udini na chuki zenu kwa wasio wa imani zenu,sio!? Daah! Khalaf nyinyi vilaza ndo mnajinasibu usomi na uzalendo!? Duuh!

Tunajua dose inawauma...lakini tulieni tu kiduchu kiducbu mtapona tu!

Tumechoka kuishi na misukule nyinyi alotwachia yule kenge mwenzenu Nyerere...lazim tuwarekebishe tu...maana mmetugharimu mno!

Sasa,je mnakubaliana na kauli za yule mnyiramba wenu aka Tundu Lissu...yakua yule Nyerere aliishi maisha ya unafiki,urongo,vitisho na uzandiki...yaani kwa maana hiyo yule Nyerere hakuwa tafauti asilan na hao majambazi/matapeli kama Papaa Msofe na Alex Massawe!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Acheni kumtaja au kumsumbua Mstahiki Mohamed Said...yeye sio level yenu!

Wee khabith wa Kibondei aka Nguruvi3...acha ukenge...huna intellect,credibility walaa integrity ya kuzungumzia lolote/chochote katika nchi hiyo! Utabakia kupiga debe na kumwaga uharo humu-JF maisha yako yoote! Daah!

Nakutakiani jioni njema...na mjifunze adab za mijadala! Ebo!

Ahsantani sana!
 
Ng'ombesugu, acha matusi! Mbona unakosa adabu kama mtu anayeSUGUliwa?
 
Hii mada Ikiendelea waje na wachangiaji wengine!?!
 
babu yangu gombesugu,
nilichoona ktk bandiko hili, mnajiribu "kubaka" hoja za mwanasheria tundu lissu dhidi ya nyerere na kuzigeuza ili ionekane kaunga mkono misimamo ya "cleric" wenu MS.
kuna tofauti kubwa sana kati hoja za tundu lissu na za MS.wakati za MS zimeegemea ktk udini hasa ukatoliki wa nyerere ,za lissu was a pure intellectual presentation with facts,hatukusikia akitaja ukatoliki au uislamu wa mtu.
 
Last edited by a moderator:
Hii mada Ikiendelea waje na wachangiaji wengine!?!

Ndugu yangu Mchungaji Ntuzu,

Ndo maana yake Mkuu! Mbona unauliza majibu!? Daah!

Hapa sio Msikitini walaa kanisani...sisi soote tunapaswa kujumuika hapa kama Watanzania...na kwa maslahi ya Taifa letu na Wananchi wenzetu wangine,au!?

Vipi maandalizi ya Easter Mkuu!? Sisi wa huku Vijijini,sherehe zetu zinakua sio kubwa mno kama nyinyi wenzetu wa huko mijini!? Teeeh! Teeeh! Teeh!

Tuko pamoja!

Ahsanta sana.
 
Mnataka kumpaisha tu yule mfitini wa kimanyema kwa kuhusisha na aliyosema Lissu. Rejeeni mijadala ya huko nyuma ya huyo nabii wenu wa kimanyema, masimulizi yake yamejaa hisia nyingi ambazo ndizo alikuwa anazitumia kuleta chuki za kidini. Na hayo ndiyo tuliyokuwa tunampinga.
Ati tumwombe msamaha, msamaha my foot!
Kumpaisha wapi JF? Usinichekeshe vitabu vyake ndiyo vinampaisha, wakati anamjibu Mtume wenu Nyerere wala hakuitaji kupaishwa aje kuitaji kupaishwa JF ebo!
 
Tumtake radhi kwani alieleza nini cha maana?
Haya yote yanayozungumzwa sasa tumeyajadili. Labda nikueleza tofauti moja ya Lissu na Mohamed, Lissu anaongea kwa data na vithibitisho. Mohamed Said anaongea kwa hisia 'inasemekana, imesemwa, nilisikia, ati, huenda' n.k.

Nitake radhi upotoshaji,fitna na uzushi, ebo! nidhalilishe uwezo wangu wa kufikiri !
Tadhali nitake radhi kwa kunihusisha na mada za MS
Kwa hiyo kutokana na data za Tundu Lissu umekubali kuwa Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu, hizo ndiyo data za Tundu Lissu.
 
Nyie wafia dini acheni unafiki si kila siku mnasema kwamba Chadema chama cha Wakristo leo wanaume wanamwaga nondo za ukweli mnajitia kimbele mbele.Mkafie mbele huko na udini wenu.Hamna pakushika sasa hivi baada ya lichama lenu kutaka kuibaka katiba.Tulieni mtetewe ndo mtajua nini faida ya Chadema na vyama vya upinzani kwa ujumla.cc Ritz na mbululas wenzako wote.
Kwani ni uongo kamanda au unataka kujitoa ufahamu.

Nondo zipi mkuu kusema Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu wakati wa utawala wake haya maneno kayasema Lissu ndiyo nondo?

Mbona Mohamed Said na wengine waliyasema siku nyingi tu humu JF kabla ya Lissu.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom