Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
No room for that jela.Miaka waliyokaa jela imewapa masomo mawili:
Either watakuwa wema sana au watakuwa wamekuwa wanyama hatari zaidi.
Usikute huko selo yame-recruit watu kibao kwenye hiyo imani kali yao!
Asante kwa kunipa Mwanga mpana juu ya suala hili.Mzee kikwete mnamuonea tu yeye aliletewa tu kumbuka walikamatwa Zanzibar ila Wanzanzibar wenyewe ndio wakaomba wakae jela za huku kule kwao hawatajifunza kitu ishu ya migogoro ya Zanzibar wabara tunabebeshwa lawama tu ila wenyewe kwa wenyewe ndio wanakamiana.
Wewe hukuyaona wala kuyasikia?Nadhani ni chuki zako tu miaka 9 mbona imeshindikana kuona hayo
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Akili yao imekuwa sawa kwa mafunzo ya miaka 9 ule upuuzi waliokuwa wakiuhubiri kwa sasa hakuna atakayethubutu hapo walipo hata wakiwa wamekaa wakasikia salamu ya Mama nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania wanaweza kusimama kwa ukakamavu maana wanaijua jamhuri sasa ni nini
Mambo mengi hata ya uchaguzi sisi tunafanya tu sababu wao wametaka iwe ivo hata ishu ya Muungano wenyewe ndio waliutaka ila kutwa kucha lawama kwetu sisi ila sababu tunaapa kuulinda Muungano hatuna budi kufanya ivyo.Asante kwa kunipa Mwanga mpana juu ya suala hili.
Kumbe ni Shein aliyemuomba Kikwete ili hawa waungwana waje huku bara.
Asipokuelewa hakuilewi tenaHujui kitu, wewe ni mmoja kati ya lile kundi lililoshibishwa mahubiri ya hao jamaa ambao mlikuwa mnapokea mafundisho toka kwa walimu wajinga, unamuita mwenzio mzembe aliekuwa frontline wakati wewe hata hujulikani ulipokuwa...
Makanisa yakianza kuchomwa nakumwagiwa watu tindikali kuki resume tuna wachukua tenaHuo ushahidi wako kwa nini umekaa nao hadi magaidi wanatoka mkuu? Si ungeupeleka wangekuwa washafungwa?
Wameonewa huruma wasingeshindwa kuthibitisha... Magaidi huwa hawahukumiwi ni kuwekwa kizuizini hadi mauti yawakute.Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa
Mkuu labda ulikuwa huangalii TV hawa JAMAA walikuwa wamejiaminisha Sana kiasi.cha kutamba kwenye vyombo vya habari hakuna anayewaweza, nikiri kwamba Shein na serikali yake iliwashindwa, nashukuru kipo walichojifunzaKama kungekuwa na ushahidi wa tuhuma zao basi wasingeachiwa huru. Tukumbuke haki huinua Taifa. Kuna kesi 147 za Takukuru zimefutwa labda na nyingine chungu nzima hazijafutwa lakini ni kesi FAKE....
Halafu watu wanatetea ujinga ATI hakuna ushahidiNikikumbuka walivyokuwa wanatamba aisee usishindane na serikali
Ni kweli walikua wanahubiri ujinga clips zipoUnaushahid wa unachozungumza watanganyika WAPUMBAVU sana
Kabisa aisee maana walituonea sana.Tangu wakae Gerezani Wakristo wa Zanzibar walipumua maana hapakuwa tena na Mapadri kupigwa risasi wala Makanisa kuchomwa moto.
Kweli kabisaTumshukuru Mungu wametoka salama, lakini tusianze kutetea au kupinga, mwenye macho na masikio aliyasikia na kuyaona, na kauli zao silisikika vile vile, Nina Imani wamejifunza kitu kwamba Dola haichezewi basi.
Ebu toa ushaidi Kama Kuna Clip waliwai kuhamasisha kuchoma makanisa????isiwe chuki tu za uislamu na waislamuMsiende tena mkaanze kuhamasisha kuchoma makinisa na kuwapiga mapadri risasi
Mkuu embu kama unajua chimbuko la kesi tuhuma zilizotolewa dhidi ya masheikh wa uamusho tuzijue. Najua JF kuna kila kituSheikh Mselem: Usalama wa Nchi ni jambo linalopewa kipaumbele na sisi tunapenda usalama, furaha ikizidi inaweza ikazalisha kitu halafu mara nyingi kutokana na uzoefu kuna vitu watu wa kati huchomeka...
We bwana mdogo vipi? Sasa kama wewe hukubaliani na sheghe wako..baas anzisha harakati zako wewe kama wewe..jinsi vile yeye alivyoanzisha zake na ukatokea wewe kumpa support baas anzisha na wewe zako watakuja wengine wakusupport kisha utapelekwaa maabusu miaka 15..hapo ndipo akili ya ubongo wa mbele itakapokujia.Anaejua nini zaidi? Mimi nisingetoa statement ya kizembe namna ile.
Tunapigania kupunguza manguvu dhalimu ya serikali kwenye vi nchi vyetu vichanga vya kidikteta hivi, tumewasapoti miaka 9, tukiamini kuwa wameonewa kwa kosa la kutoa maoni ya kisiasa, whether hatuyakubali au tunakubaliana na kuvunja Muungano. Hawakutakiwa kufungwa miaka tisa...
HahahahahaMzee kikwete mnamuonea tu yeye aliletewa tu kumbuka walikamatwa Zanzibar ila Wanzanzibar wenyewe ndio wakaomba wakae jela za huku kule kwao hawatajifunza kitu ishu ya migogoro ya Zanzibar wabara tunabebeshwa lawama tu ila wenyewe kwa wenyewe ndio wanakamiana..
Mlikuwa mnahamasisha ushoga kule kweny nchi ya watuKabisa aisee maana walituonea sana.
Kumbe hawakuwa magaidi!!Hicho kilikuwa ni kichapo tu ili akili ziwakae kichwani. Na, zimewakaa nafikiri.