Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

Yaani CCM wametoka kwenye ujinga wameelekea kwenye upumbavu. Badala ya kujibu hoja zilizoibuliwa kwenye udhaifu wa mkataba, wanamtuma Mwijaku kukashifu Maaskofu. Mashehe nap wamedandia treni kwa mbele, hawajibu hoja, wanabwabwaja!
hoja zishajibiwa siku nyingi na mahakama imesha jibu .
 
Waambie sasa wajibu we kichaa nini
 
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda
 
Yaani CCM wametoka kwenye ujinga wameelekea kwenye upumbavu. Badala ya kujibu hoja zilizoibuliwa kwenye udhaifu wa mkataba, wanamtuma Mwijaku kukashifu Maaskofu. Mashehe nap wamedandia treni kwa mbele, hawajibu hoja, wanabwabwaja!
Hii nchi safar ni ndefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Mahakama imeona hoja ni dhaifu imetupilia mbali hoja hizo. Mahakama ndo chombo cha kutafsir sheria.

Em na wew tuambie article ipi inashida mkataba si umeusoma?
 
Pale kaingia mwarabu mweny hofu na mungu madili haram ya watu lazima yafe.
 
Kwamba walikaa kama Kamati ili kufanya upotevu huo ? Au kama wanajulikana kwanini wasishikwe na kushitakiwa...

Inabidi tukemee wizi popote pale; kuna polisi na mahakama..., dawa ya wizi sio Kubinafisha Bandari sababu kama ni wizi utaendelea kuwepo kwa njia nyingine
 
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda
 
hohohooo!? mazuzu kweli kwenye swala la muhimu namna hii kwa ajili yetu navizazi vijavyo mmeanza kuingiza udini tena!? naunga mkono founder wa illuminat bavaria kwamba dini ni upumbafu na imekuja kutugawa nakuleta machafuko duniani ilitutawaliane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…