Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

Ninachoona ni kuwa waheshimiwa wengi hawajalala usingizi tokea TEC watoe waraka ule.

Wanajaribu kusoma mstari kwa mstari ili watoe majibu, dalili kubwa ni kwamba wamekwama.

Ushauri tu ni kuwa tekelezeni ya kwenye waraka wa TEC wasije wakaja na mengine magumu zaidi.
Yaani waheshimiwa wasilale kwa lile povu la kuogopa wajenga misikiti!?..ikulu Kuna godoro la maji,unakosaje usingizi!?
 
Igawanywe ili nyie muishi peke yenu bila makafir.
Pakistan na India waligawana kwa kigezo cha dini si ajabu na hapa kugawana
TUNA TATIZO LA MKATABA WA BANDARI, SIO TATIZO LA DINI. Wewe unaleta udini mpaka na mm ushanipachika dini isiyo yangu ili kuwe na uhalali tugombane.

Hii janja janja ya kuingiza dini ili tuanze kujificha kwenye udini ni UPUMBAVU. VITA VYETU SI VYA KIDINI, NI VITA VYA MKATABA MBOVU WA BANDARI.

KAMA MBWA, MNATOKA KWENYE RELI MAPEMA, YAANI MMETUPIWA MFUPA TU MMEACHA ULINZI MNAUGOMBANIA.
 
Ninachoona ni kuwa waheshimiwa wengi hawajalala usingizi tokea TEC watoe waraka ule.

Wanajaribu kusoma mstari kwa mstari ili watoe majibu, dalili kubwa ni kwamba wamekwama.

Ushauri tu ni kuwa tekelezeni ya kwenye waraka wa TEC wasije wakaja na mengine magumu zaidi.
mnajidanganya kweli yaani hao katoliki ni nani hasa kwenye nchi hii mpaka watuendeshe wachahce hivyoi kama vile wote ni wakatoliki? kwendeni hukoo mmekwama
 
Inawezekana kunaukweli niliwahi kusikia Padre mmoja
anapokwenda nchi za nje anabeba madini ya kutosha na akirudi anarudi na Biblia ikiwa imebeba dawa za kutosha kama ni kweli basi ni lazima wapotoshe umma uogope private sector maana itakuwa ni kuscan kwa kwenda mbele.

Hivi kwanini Serikali yangu haijajibu hoja za hawa wachonganishi? Kuna watu wasio imara watawaamini hawa warafi.
Hawa ni mapadre!!??
JamiiForums-419861776.jpg
 
Inawezekana kunaukweli niliwahi kusikia Padre mmoja
anapokwenda nchi za nje anabeba madini ya kutosha na akirudi anarudi na Biblia ikiwa imebeba dawa za kutosha kama ni kweli basi ni lazima wapotoshe umma uogope private sector maana itakuwa ni kuscan kwa kwenda mbele.

Hivi kwanini Serikali yangu haijajibu hoja za hawa wachonganishi? Kuna watu wasio imara watawaamini hawa warafi.
Hao hawatakiwi kujibiwa,ili wajione wapuuzi na siku nyingine wasirudie
 
Back
Top Bottom