darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Na harakati za kidini katika siasa hazitaisaidia ChAdeMa na maaskofu wake piaHizi harakati za kijinga hazisaidii ccm, wala hazitakuja kuisaidia, Mnabaribu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na harakati za kidini katika siasa hazitaisaidia ChAdeMa na maaskofu wake piaHizi harakati za kijinga hazisaidii ccm, wala hazitakuja kuisaidia, Mnabaribu tu.
Uchambue usichambu Bandari ndio hiyo imeendaHoja za hawa Waislamu wenzangu zinachekesha sana hata watoto wadogo. Huo ndio uchambuzi wa mkataba!? Tatizo ni njaa au Elimu?
Aibu kubwa mno
Nenda wewe kamtoe kama ni RahisiMtoeni yule mtu pale juu jamani!
Huyu bibi tusipoangalia ataliangamiza hili taifa kwa ujinga tu!
SAS mbona wew ndo akili huna.Wap mkataba umechambuliwa kweny maeneo ya huyo sheikh.Hoja za hawa Waislamu wenzangu zinachekesha sana hata watoto wadogo. Huo ndio uchambuzi wa mkataba!? Tatizo ni njaa au Elimu?
Aibu kubwa mno
Halafu hiyo kesi itaendeshwa na mkristo au muislamu? Endeleeni tu na huu upumbavu mpaka watu watakapoanza kujilipua kwenye shule za watoto wetu. Kuna watu huko nje wanaitamani sana Tanganyika, kinachowazuia ni utulivu unaoiwezesha jeshi kuwa imara.Kanisa kwa nini lisimshtaki huyu sheikh athibitishe kanisa linahusika vipi na upotevu wa makontena bandarini.
Kejeli ndo kipimo cha uelewa wa mtu [emoji1787][emoji1787].[emoji1787][emoji1787]Mashehe ubwabwa wasiojua hata kuandika majina yao,eti wanawajibu wasomi.
Wanachojua ni kuoa vitoto vya darasa la nne [emoji1787][emoji1787]
VIjibwa vingine hivi hapa vyabweka havina hata jino moja! Waumini wangapi nyie vibwengo!?
Watu wanadhani nchi ikishajenga uadui wa kidini basi itakuwa ni kubishana humu jukwaani halafu mtaani mambo yataendelea kuwa shwari.Nadhani Wanasiasa watakuwa wamefurahi kutufikisha huku wanapotaka tufike.
Ila tukumbuke zaidi ya asilimia 57 ya Viongozi wetu wa Kisiasa, wana nyumba Nje ya Nchi.
Hivyo kama mambo yataharibika, wenzetu wana Nchi ambazo wanaweza kukimbilia na kuishi.
Kumbukeni, asilimia 100 ya Viongozi hawa wana Pasi za kusafiria zenye hadhi ya Kibalozi, hivyo hawana kikwazo cha kusafiri.
Mnamtisha nani. Eti mjilipue. Mbona hamjaanza?Halafu hiyo kesi itaendeshwa na mkristo au muislamu? Endeleeni tu na huu upumbavu mpaka watu watakapoanza kujilipua kwenye shule za watoto wetu. Kuna watu huko nje wanaitamani sana Tanganyika, kinachowazuia ni utulivu unaoiwezesha jeshi kuwa imara.
Matatizo yako binafsi yanagawanyaje nchi? chokochoko za kupigania nchi kwa kutumia dini ni UPUMBAVU. Hakuna uhusiano wowote wa udhaifu wa mkataba na udini na tutavuka bila kugawana nchi kama unavyoomba miungu yako.Mnamtisha nani. Eti mjilipue. Mbona hamjaanza?
Hii nchi bora igawanywe tu
Igawanywe ili nyie muishi peke yenu bila makafir.Matatizo yako binafsi yanagawanyaje nchi? chokochoko za kupigania nchi kwa kutumia dini ni UPUMBAVU. Hakuna uhusiano wowote wa udhaifu wa mkataba na udini na tutavuka bila kugawana nchi kama unavyoomba miungu yako.
Hizo hoja kizani zitasaidia kitu gani na Bandari ndio hiyo imeendaHapa ndipo unagundua kua.. elimu ahera ni tofaut san na elimu dunia!! Mamb ya msingi na hoja za msingi zinakuja jibiwa kiitikadi ya kidini, Nawashaur mashehe waje na hoja kinzani wakija na ufafanuzi juu ya vifungu kweny mkataba wa DP world!!
Inashangaza tumekubali kutengana kwa mambo ya Imani zetu kutokana na huu Mkataba wa Hovyo wa Bandari.Watu wanadhani nchi ikishajenga uadui wa kidini basi itakuwa ni kubishana humu jukwaani halafu mtaani mambo yataendelea kuwa shwari.
Mahakama ilisema hoja za akina Mwabukusi zina mantiki (kuhusu vipengele tata vya mtakaba, i.e Dubai sio nchi na ukomo wa mkataba), ila mahakama ilidai haiwezi kuingilia maamuzi ya chombo kingine (bunge). Hoja ya akina Mwabukusi ilitupwa kwa msingi huo. Soma ile hukumu, ipo hapa JFHii nchi safar ni ndefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mahakama imeona hoja ni dhaifu imetupilia mbali hoja hizo. Mahakama ndo chombo cha kutafsir sheria.
Em na wew tuambie article ipi inashida mkataba si umeusoma?
ZerooViongozi wa Kiislamu Wana tatizo la kuona mbali