Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

Hoja za hawa Waislamu wenzangu zinachekesha sana hata watoto wadogo. Huo ndio uchambuzi wa mkataba!? Tatizo ni njaa au Elimu?

Aibu kubwa mno
SAS mbona wew ndo akili huna.Wap mkataba umechambuliwa kweny maeneo ya huyo sheikh.

Mkataba ushachambuliwa zaman sana na hakuna dosari. Anachofanya huyo sheikh ni kuonesha KWANINI TEC WAMETOA WALAKA WA KUPINGA HALI YA KUWA MKATABA HAUNA KASORO.
 
Nadhani Wanasiasa watakuwa wamefurahi kutufikisha huku wanapotaka tufike.

Ila tukumbuke zaidi ya asilimia 57 ya Viongozi wetu wa Kisiasa, wana nyumba Nje ya Nchi.

Hivyo kama mambo yataharibika, wenzetu wana Nchi ambazo wanaweza kukimbilia na kuishi.

Kumbukeni, asilimia 100 ya Viongozi hawa wana Pasi za kusafiria zenye hadhi ya Kibalozi, hivyo hawana kikwazo cha kusafiri.
 
Kanisa kwa nini lisimshtaki huyu sheikh athibitishe kanisa linahusika vipi na upotevu wa makontena bandarini.
Halafu hiyo kesi itaendeshwa na mkristo au muislamu? Endeleeni tu na huu upumbavu mpaka watu watakapoanza kujilipua kwenye shule za watoto wetu. Kuna watu huko nje wanaitamani sana Tanganyika, kinachowazuia ni utulivu unaoiwezesha jeshi kuwa imara.
 
[emoji1787][emoji1787]Mashehe ubwabwa wasiojua hata kuandika majina yao,eti wanawajibu wasomi.
Wanachojua ni kuoa vitoto vya darasa la nne [emoji1787][emoji1787]
Kejeli ndo kipimo cha uelewa wa mtu [emoji1787][emoji1787].

Madhaifu ya mkataba ni yapi ?
 
Nadhani Wanasiasa watakuwa wamefurahi kutufikisha huku wanapotaka tufike.

Ila tukumbuke zaidi ya asilimia 57 ya Viongozi wetu wa Kisiasa, wana nyumba Nje ya Nchi.

Hivyo kama mambo yataharibika, wenzetu wana Nchi ambazo wanaweza kukimbilia na kuishi.

Kumbukeni, asilimia 100 ya Viongozi hawa wana Pasi za kusafiria zenye hadhi ya Kibalozi, hivyo hawana kikwazo cha kusafiri.
Watu wanadhani nchi ikishajenga uadui wa kidini basi itakuwa ni kubishana humu jukwaani halafu mtaani mambo yataendelea kuwa shwari.
 
Halafu hiyo kesi itaendeshwa na mkristo au muislamu? Endeleeni tu na huu upumbavu mpaka watu watakapoanza kujilipua kwenye shule za watoto wetu. Kuna watu huko nje wanaitamani sana Tanganyika, kinachowazuia ni utulivu unaoiwezesha jeshi kuwa imara.
Mnamtisha nani. Eti mjilipue. Mbona hamjaanza?

Hii nchi bora igawanywe tu
 
Mnamtisha nani. Eti mjilipue. Mbona hamjaanza?

Hii nchi bora igawanywe tu
Matatizo yako binafsi yanagawanyaje nchi? chokochoko za kupigania nchi kwa kutumia dini ni UPUMBAVU. Hakuna uhusiano wowote wa udhaifu wa mkataba na udini na tutavuka bila kugawana nchi kama unavyoomba miungu yako.
 
Igawanywe ili nyie muishi peke yenu bila makafir.
Pakistan na India waligawana kwa kigezo cha dini si ajabu na hapa kugawana
 
Hapa ndipo unagundua kua.. elimu ahera ni tofaut san na elimu dunia!! Mamb ya msingi na hoja za msingi zinakuja jibiwa kiitikadi ya kidini, Nawashaur mashehe waje na hoja kinzani wakija na ufafanuzi juu ya vifungu kweny mkataba wa DP world!!
Hizo hoja kizani zitasaidia kitu gani na Bandari ndio hiyo imeenda
 
Watu wanadhani nchi ikishajenga uadui wa kidini basi itakuwa ni kubishana humu jukwaani halafu mtaani mambo yataendelea kuwa shwari.
Inashangaza tumekubali kutengana kwa mambo ya Imani zetu kutokana na huu Mkataba wa Hovyo wa Bandari.

Lakini tukumbuke mambo yakiharibika, tutabaki tunachinjana humu huku Viongozi wanaotufukisha huko watakuwa wote wamekimbia Nchi.

Wanasiasa wetu hawajawahi kutuwazia mema zaidi ya kuangalia maslahi yao tu
 
Hii nchi safar ni ndefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Mahakama imeona hoja ni dhaifu imetupilia mbali hoja hizo. Mahakama ndo chombo cha kutafsir sheria.

Em na wew tuambie article ipi inashida mkataba si umeusoma?
Mahakama ilisema hoja za akina Mwabukusi zina mantiki (kuhusu vipengele tata vya mtakaba, i.e Dubai sio nchi na ukomo wa mkataba), ila mahakama ilidai haiwezi kuingilia maamuzi ya chombo kingine (bunge). Hoja ya akina Mwabukusi ilitupwa kwa msingi huo. Soma ile hukumu, ipo hapa JF
 
Serikali ifanye marekebisho pale ambapo Mkataba hauko sawa kama haiwezekani iachane na huo Mkataba.
 
Back
Top Bottom