Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu ,kazi Yao ni kupinga Kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
Yaani we utakuwa bumunda kama huyo sheh wako tu.
 
Hii nchi shida sana. Issue ya bandari ni nyeti na inamgusa au itamgusa kila mtu. Inashangaza sana mtu anakosa hoja za msingi anakimbilia kwenye kichaka cha udini. Sasa huyo Shehe Mwaipopo ana hoja gani ya maana au mchango wa kulinganisha na Professor Shivji. Akipata nafasi ya kukutana na Mwl. Nyerere aje aulize mchango wa Prof. Shivji. Unauliza Mwalimu wa chuo kikuu mbobezi eti ana mchango gani kwenye nchi hii!! Au anafikiria Profesa ni jina lake.
Hili suala la bandari halina dini ni watanzania wote. Na watanzania wanayo haki ya ya kuambiwa ukweli kuhusiana na uendeshaji wake.
 
Shivji ni msomi nguli wa Sheria. Mmechanganyikiwa kuwa mzalendo na siyo mfia dini
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu ,kazi Yao ni kupinga Kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.
 
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu ,kazi Yao ni kupinga Kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.

Kazi yako ni kutafuta watu kule Twitter then unakuja kupaste huku wewe una Nini ? Cha kukubali huu mkataba ambao utakujakutumaliza kwa fidia na madai ya Kila namna
 
Si ajabu ukiwa na akili nyingi ukawa mkiwa Mana utaona Mambo tofauti na misukule kama Mwaipopo.
 
Bora uwaambie ukweli. Anachukua madaraka ya kutoa onyo kama nani?
Nadhani hajui professa shivji kaongea kama nani, na kwa nini kashauri? hajui hata historia yake.

ccm pls mnadhalilisha viongozi wa dini hebu waacheni wanajua quran tu, mambo ya elimu dunia chambue ninyi na watu wenu, msitafute sauti mwisho ni kuwadhalilisha viongozi wetu. ni aibu kubwa sana, hajui maskini hata anaongea nini

yaani aibu nimesikia mie, sio uislam huu.
 
Huyo profesa wako biashara kaifanya wapi?

Huyi kazi yake ilikuwa kujaza watu ujinga tu.

Ikiwa wanafunzi wake ndiyo kama wewe? Khaa!
Prof. Shivji amekuwa akiwapa maarifa watu wenye akili timamu. Mtu kama wewe, uwezo wako mdogo wa akili unakuweka mbali na Prof. Shivji.

Huwezi kukitaja kitivo cha sheria DSM au shule ya sheria, ukaliacha jina la prof. Shivji, halafu uwe umemaliza.

Watu wenye upeo na akili kidogo kama wewe, hamwezi kuelewa watu wenye michango mikubwa katika Taifa hili.
 
Anaitwa shehe Mwaipopo!!!!! Cjawah sikia mnyakyusa mwislamu.

Atuambie yeye ni mnyakyusa au mwislamu? Achague moja maana unyakyusa na uislamu haviingiliani!
Sawa na kusema umemuona masai albino, qu mlemavu.
 
Huyu mtengeneza MAJINI ametokea wapi ? Sheikh ameishia darasa la 4 alafu anataka kubishana na professor hii ni aibu Kwa nchi jamani
 
Prof. Shivji amekuwa akiwapa maarifa watu wenye akili timamu. Mtu kama wewe, uwezo wako mdogo wa akili unakuweka mbali na Prof. Shivji.

Huwezi kukitaja kitivo cha sheria DSM au shule ya sheria, ukaliacha jina la prof. Shivji, halafu uwe umemaliza.

Watu wenye upeo na akili kidogo kama wewe, hamwezi kuelewa watu wenye michango mikubwa katika Taifa hili.
Qaliosomeshwa na Shivji ndiyo katika walioenda shule za kusomea ujinga.

Ndiyo maana Tanzania inadidimia kwa kuina mtu kama huyo ana maarifa.

Mie nilikuwa nahisi mtu mwenye maana kumbe poyoyo.

Unaoewaje maarifa na mtu asiye na maarifa? Unajazwa ujinga tu.
 
Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo.

My Take
Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze..

Kiufupi hana tofauti na Lisu ,kazi Yao ni kupinga Kila kitu.

Watu wa hivi ni useless kwenye jamii.

Huyu ni mtu mjinga sana Issa Profesa ametoa maoni yake huyu anamshambulia Issa in person!!?? Anadhalilisha waislamu huyu. Msimamo wa profesa ni wa kwake binafsi huyu katokea wapi!??
Huyu anatakiwa atandikwe viboko hadharani
 
Qaliosomeshwa na Shivji ndiyo katika walioenda shule za kusomea ujinga.

Ndiyo maana Tanzania inadidimia kwa kuina mtu kama huyo ana maarifa.

Mie nilikuwa nahisi mtu mwenye maana kumbe poyoyo.

Unaoewaje maarifa na mtu asiye na maarifa? Unajazwa ujinga tu.
Kweli nimeamini nyinyi hamna akili
 
Binafsi ningependa kufahamu elimu ya huyo sheikh, ana elimu gani?

Kuhusiana na mambo ya mikataba, ili uweze japo kuingia chumba alicho Prof. Shivji na kuanza kuhojiana nae inakupasa angalau uwe na shahada ya kwanza ya sheria.

Vinginevyo huyu Bwana Mwaipopo atafute watu wa hadhi yake ajadiliane nao.

Tusiruhusu watu wenye akili ndogo wapanue midomo yao kiasi cha kufanya watu wenye akili kubwa wasisikike, tutaliua taifa.
Ana elimu gani huyu kichaka cha mv
 
😂😂😂 sheikh ubwabwa , elimu la 7 . Anaongea nini sasa ?! Kwa prof wa Sheria . Jamani hizi Dini hizi
Sheikh mwenye hata ukimsikiliza anaonekana kabisa bado anaujinga mwingi kichwani mwake
Hili la bandari limesha geukankiwa vita wa uarabu na uswahili ambapo iesha fika mbali sasa ina emda kuwa ya uislam na ukristo
 
Back
Top Bottom