PreGE2025 Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

PreGE2025 Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.

Pia, Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

Kweli kabisa ,hatukuwahi sikia TEC wakitoa taamko kuhusu musislam yoyote hata wale wenye kustahili kupaaza sauti ,mfano waislama wa uamsho.
 
wao mpumbavu mmoja TU akishaweza kukariri Quran huyo wanampa mskiti eti ni shekhe.
Unafikiri kuwa sheikh ni kitu rahisi?

Au kwa vile unaona waislamu wanavyoitana Sheikh basi unadhani ni kitu rahisi? Tunaitana Sheikh kama heshima tu lakini haina maana mhusika ni sheikh.

Kuwa sheikh inabidi usome fani 12. Qur'an ina aya 6236, na kila aya ufahamu tafsiri yake.

Na tafsiri yake ina tafsiriwa kwa Qur'an yenyewe, kwa sunna na kwa bi swahaba.

Qur'an hautafsiri mwenyewe! Ukijatafisiria mwenyewe mapema makazi yako jiandalie motoni, ndivyo Mtume alivyosema.

Hizo aya zote zitafsiriwe kama Mtume alivyotafsiri unafikiri zitakuchukua muda gani? Tofautisha hifdhi wa Qur'an na mufassiruuna wa Qur'an.
Kwenye ulimwengu huu wa logic wao hutoaga TU pumba mara wanaomba serikali iwape darubini kubwa kuona mwandamo wa mwezi😫
Na nani kakwambia uislamu hakuna somo la logic?

Somo la logic linaitwa mantwiq! Kwa Kiswahili tunaita mantiki. Na bila logic (mantwiq) Qur'an hauielewi.

elimu ya Kiislamu katika elimu ya mantiki (logic) linalenga kuwa na uelewa wa kina na sahihi wa hoja, dalili, na tafsiri. Lengo kuu la somo hili ni kulinda akili dhidi ya makosa ya kimantiki katika kufikiri na kutoa hoja na kufundisha watu kufikiri kwa nidhamu na uadilifu wa kiakili.

Ndiyo maana mara nyingi huwa tunawaambia kuwa, nyinyi hamna ufahamu wa sawa sawa na dini ya uislamu.
 
Hivi akili zako ulizinya na kubakisha mavi kichwani wewe ujui hata kulipia maiti muhimbili na kulazwa kwenye bweni za muhimbili kuwa bei sawa na kulala hotelini ni wao wanefanya hovyo kupandishwa bei vitu huwa ni wao kufuta elimu bure huwa ni wao ...biashara ya madawa ya kulevya wakubwa ni wao ...kuoigania mafisadi ni wao ...kuuza nchi yetu ni wao ...kupiga vita wazalendo na uzalendo ni wao ...mfano JPM alisema bwawa likikamilika umemeutashushwa bei kwa asilimia 50% ili kukuza uchumi ...je mpumbavu kafanya nini sasa ....kaondoa elimu bure kapandisha bei ya kuunga umeme ...kapandisha bei ya simu ....nitajie kiongozi mkristo rais aliye kuwa kiongozi na kushuhudia watoto wake wakitumia vyeo vya baba zao kufanya ushenzi mimi nitakutajia wa kiislamu.wewe nitajie wa kikisto
Tukianza kuorodhesha changamoto za Nyerere hapa ambaye ni mkristo napo patakalika?

Nyerere si alifanya madudu ambayo hamuambiwi mpaka makamanda wa Jwtz kambi mkoa wa Mara walitangaza uasi na kuunda nchi yao iliyoitwa Jamhuri ya Chui, na ana mapungufu kibao ambayo hata kutamkwa mengine yanaonekana na uhaini.

Huyo mkapa naye kafanyaje? Ana mazuri yake na kwa uhakika ana mabaya yake na mfano wa.wazi ni mikataba mibaya ya madini n.k

Magufuli na mabaya yake yanafahamika na mpaka sasa Lissu anapambana na mfumo ambao uliasisiwa na Magufuli kwenye masuala ya uchaguzi.

Ukitaka tuyaorodheshe hayo muda tunao! Na wote wanatokea chama kimoja, na ndipo utajua kama kosa ni wao na dini zao ama kosa ni chama kilochopewa dhamana kuisimamia na kuiongoza hii nchi.
 
Lissu alikuwa na uadui na magufuli kwa sababu ya kukubali kutumiwa na maadui wa uzalendo walio kuwa ccm kina rostam azizi na samia sasa wamesha mtumia na kupata walicho kitaka na kumgeuka mtu wao ...sasa hivi lissu ana andamwa na watu walio jidai marafiki zake ndiyo maana lissu ana uvmchungu sana ...baada ya kugundua kuwa alitumika na wahuni kumsaliti mzalendo JPM...Weka hapa mabaya ya nyerere nikujibu maana najua waislamu hamna akili.
 
Ndugu wewe unaonekana kama muislam mwenye hekima kidogo kwa sababu hata ujengaji wa hoja zako zipo kisomi zaidi bila matusi.

Sasa turudi kwenye swali lako:
Mimi huku mtaani ninaishi na mashekhe wengi, wengi wao ni elimu ya kidato Cha nne failure na kwenda kukariri Quran then wapo msikitini.

Sasa wewe kama muislam unaweza kutupwa evidence ya kielimu anayopaswa kuwa nayo muumini ili awe shekhe wa mskiti?
Unavyokiona kiwango cha elimu jinsi kilivyo yaani mhusika kawa na shahada ya kwanza, shahada ya uzamili, kawa na shahada ya uzamivu (Phd).

Akianza kufundisha Chuo ataitwa mhadhiri, kisha senior lecturer, kisha associate Professor na kisha full Professor.

Hivyo vituo vya kupata elimu kwa mtindo wa namna huo kwenye uislamu nao upo. Hao unaowazungumzia ni imma wenye level ya elimu ya msingi ama elimu ya kati katika viwango vya elimu ya dini ya kiislamu.

Kuitana masheikh hayo ni majina tu amabyo waislamu tumezoea kuitana majina ya heshima na wala haimaanishi ni kiwango cha mtu cha elimu, ni suala la kupeana heshima tu.
 
Lissu alikuwa na uadui na magufuli kwa sababu ya kukubali kutumiwa na maadui wa uzalendo walio kuwa ccm kina rostam azizi na samia sasa wamesha mtumia na kupata walicho kitaka na kumgeuka mtu wao ...sasa hivi lissu ana andamwa na watu walio jidai marafiki zake ndiyo maana lissu ana uvmchungu sana ...baada ya kugundua kuwa alitumika na wahuni kumsaliti mzalendo JPM...Weka hapa mabaya ya nyerere nikujibu maana najua waislamu hamna akili.
Wewe huna uelewa, na naelewea haya masuala kuliko wewe unavyoelewa. Hivyo tutapotezeana tu muda hapa!
 
Mawe yashaanza kuwapata watu huko gizani. Atatoka mmoja mmoja. Haki ipo juu ya yote.
Haki gani?.Binadamu hatujawai kua na haki sawa.Haki kama haki duniani hakuna iko kitu labda ahera.Labda kama unazungumzia haki za wanasiasa ambazo nazenyewe nikwaajili ya matumbo yao.Sasa jidanganye Amani ipotee kwasababu unapambania haki za wanasiasa ndo utajua kwanini vikao na mikutano yakuleta Amani duniani ni mingi kuliko mazungumzo ya Haki.
 
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.

Pia, Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

Ukiona shekhe anaitwa mwaipopo jua ni tapeli
 
Mchina anatengeneza t-shirt za Kuitenga China na kuziuza USA
Order kutoka America

Wala hajali, yeye anajali pesa na anajua bidhaa zitauzika tu

Sisi tukazane kulumbana kijinga
Screenshot_20250421_093048_Instagram~2.png
 
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.

Pia, Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

Huyo ni sheikh wa Bakwata ama wa Issa Ponda?
 
Yan unakuta mtu mzima anaongea mambo kama haya had akili anakwambia acha kuwaheshimu watu wazima maana Wana matumizi mabaya ya akili
 
2023:
20250421_120821.jpg

Kaibuka na mapya tena:
Screenshot_20250421-121043.png
 
Attachments

  • Screenshot_20250421-121043.png
    Screenshot_20250421-121043.png
    1.1 MB · Views: 19
Ndio maana me kilasiku najisemea kua mimi ni mpinzani lakini kamwe siwezi unga mkono harakati za chadema, sababu Chadema imebeba ajenda ya kanisa.
Unajua, Chama cha mapinduzi kimebeba Kanisa na Msikiti lakini chadema imebeba Kanisa tu.

Hapo zamani Chama cha mapinduzi kilipendelea sana Kanisa lakini kwasasa kimeamua kugawa haki sawa kwa wote, kitu ambacho Kanisa linakasirika na kuamua kuanzisha harakati zake ki vingine, ndio unaona hiyo Chadema.

Hivyo ndugu zangu waislam munao shabikia Chadema jitathminini vizuri, wenda mukawa mumepanda mtumbwi wa vibwengo bila kujijua.
 
Mwaipopo hayupo Bakwata.

Kuna masheikh matamko yao yana athari kwa waislamu wa Tanzania au taasisi lakini siyo Mwaipopo.

Hana athari yoyote kwa waislamu.
Umeisikiliza vizuri lakini hiyo video ama umekurupuka tu kukoment?
 
Mwaipopo hajawahi kuwa shekhe, wala hajawahi kuwa muislam. U.askini ndio ulimfanya aamue kuwa kuwa tapeli kupitia dini, akiamini anaweza kuvuna pesa ya mwarabu kupitia uislam.
 
Huyo Mwaipopo anahoja, ajibiwe kwa hoja, sio kukashfu imani yake, acheni upuuzi.

Kwanini Rais akiwa Muislam nchi hii Kanisa haliishi kuiandama serkali ya wakati huo?

Niko paleeee
 
Back
Top Bottom