PreGE2025 Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

PreGE2025 Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwaipopo hajawahi kuwa shekhe, wala hajawahi kuwa muislam. U.askini ndio ulimfanya aamue kuwa kuwa tapeli kupitia dini, akiamini anaweza kuvuna pesa ya mwarabu kupitia uislam.
Jibu hoja, sio kumshambulia mtoa hoja.
Tuambie wakati wa Magufuli viongozi wa Chadema hawakuwahi fungwa (achilia mbali kushtakiwa) je Kanisa lilitoa kauli gani?
 
Mkuu waislam kama wakristo au kabila Fulani hizo ni jamuiya kubwa sana ambako werevu na wajinga kivyao vyao hawawezi kukosekana.

Malaria 2 au nasema uongo?
Ana haki kabisa ya kisheria kukosoa kama viongozi wengine wa dini wanavyokosoa.
 
Nchi hii siyo mali ya Maaskofu,wakae wakitambua Hilo,zama za kuwapigia magoti maaskofu zishapitwa na wakati... maaskofu wa nchi hii mafala sana
 
Jibu hoja, sio kumshambulia mtoa hoja.
Tuambie wakati wa Magufuli viongozi wa Chadema hawakuwahi fungwa (achilia mbali kushtakiwa) je Kanisa lilitoa kauli gani?
Kanisa lilifyata mkia,Leo eti wanataka kujifanya wao Wana jua sana kuchonga genga
 
Uzuri ni kwamba wanaomtumia huyu bwana wanajua kabisa hana lolote na hana wanaomsikiliza.​
Hao wafuasi wenu wa Roma nani anawafuatilia? Tena jana hawajatoa waraka, wanatoa nyaraka wamebadilishaga nini nchi hii? Huwa wanapuuzwa km watakavyopuuzwa sahivi
 
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.

Pia, Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti


Sheikh Mjinga huyu. Sasa yeye alikuwa Wapi kusema. Au ni kwa vile ni kawaida. Na kama ni kawaida kwa nini anaanza kulinganisha? Amesahau wakati wa Magufuli akina Makonda walimtukana Kadinali Pengo kwa sababu ya Waraka.
 
Nyie pambaneni kidini ila sisi wengine tunasimamia reforms tu.

Ni mtu mpumbavu ndio ataenda kupoteza muda kutick yale makaratasi akiamini ule ni uchaguzi.
 
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.

Pia, Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

Huyo shekhe ni shoga? Mbona hajitambui
 
Wala hajatumwa ni chuki na kujipendekeza kwa kuwa rais ni Mwiislamu dhidi ya Maaskofu wa Kanisa, Mwaipopo akili yake imepinda kama kiuno chake, kama ni uongo msikilize kauli zake na mwangalie atembeavyo .
 
Tunaomba elimu ya huyu jamaa (chawa) kwanza kabla hatujaanza kumjadili.
 
Back
Top Bottom