PreGE2025 Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nchi hii siyo mali ya Maaskofu,wakae wakitambua Hilo,zama za kuwapigia magoti maaskofu zishapitwa na wakati... maaskofu wa nchi hii mafala sana
Hivi nyinyi waislamu vita na wakristo mnaviweza kweli au mnaleta masihara tu kwa kuwa akili zenu ni finyu .amwoni dunia ilivyo egama na amjui muhammad aliwa fananisheni na mizoga na uchafu ufanyao povu la bahari unajua kwa nini? muhammad aliwafananisha uma wake watakao kuja kuwa watakuwa kama povu la bahari yaani kama mafii tu
 
U
jinga wake usihusishwe na uislamu na waislamu kwani unahisi hamna waislamu ambao ni Chadema? Acha upuuzi
We nawe umejazwa na bias ya kidini. Huyo mwenzako kataja 'wala nguruwe ' akiwalenga Viongozi wa dini nyingine, na hujamuonya ila unakuja kunionya mimi hapa niliyemwonyesha kwamba 'wala nguruwe ' hata huko kwenu wapo!
 
Lissu alikuwa na uadui na magufuli kwa sababu ya kukubali kutumiwa na maadui wa uzalendo walio kuwa ccm kina rostam azizi na samia sasa wamesha mtumia na kupata walicho kitaka na kumgeuka mtu wao ...sasa hivi lissu ana andamwa na watu walio jidai marafiki zake ndiyo maana lissu ana uvmchungu sana ...baada ya kugundua kuwa alitumika na wahuni kumsaliti mzalendo JPM...Weka hapa mabaya ya nyerere nikujibu maana najua waislamu hamna akili.
Sijawahi kuona mtu anaandika pumba kama wewe Lwiva !! Duh hivi ukisoma mwenyewe unajisikiaje?
 
Screenshot_20250421-164135_X.jpg
 
Hawa ndiyo mashekhe ubwabwa sasa. Mfano wake ni kama yule aliyekuwa wa mkoa wa DSM Mkwewe na mufti
Chawa
 
We nawe umejazwa na bias ya kidini. Huyo mwenzako kataja 'wala nguruwe ' akiwalenga Viongozi wa dini nyingine, na hujamuonya ila unakuja kunionya mimi hapa niliyemwonyesha kwamba 'wala nguruwe ' hata huko kwenu wapo!
Kanisa katoliki hamuaminiki nyie ndiyo chanzo cha vita ya kimbari Rwanda
 
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.

Pia, Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

Hata kama unatetea ujinga Baraza la Maaskofu halimwonei mtu vile vile na wewe pamoja kuwa wewe ni Yuda Iskarioti unaweza tetewa na hilo baraza.
 
Huyu shehe ndiyo maana anaitwa popo.hawa wajinga wanatuchelewesha sana kuifanya Nchi yetu iwe yenye kufuata haki
 
Shekh kazungumza vizuri sana.jambo lipo mahakamani halaf anatokea kiongozi wa dini mwenye chucking za kidini anasema ,aachiwe bila masharti yeyote kwani huyo kiongozi wa dini ni nani?
Yeyote anayempinga huyu Shekh hana akili
Hakuna kesi ya kumshikilia mtu rumande bali ni upumbavu tu wa vyombo vya dola kutumia sheria vibaya kwa ajili ya kuilinda CCM.
 
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali.

Pia, Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

Haahaa safari hii viongozi wa dini ya kweli wamesimama upande wa haki...lissu ameonewa tu kisa alikuwa anawazibua watu..
 
Sijawahi kuona mtu anaandika pumba kama wewe Lwiva !! Duh hivi ukisoma mwenyewe unajisikiaje?
Pumba zangu huwa zinatimia kama zilivyo hata CHADEMA'S waliwai kuniandama hapaJF nilipo waonya kuhusu Samia ....waliniponda kama wewe ...niliwaonya kuwa samia awezi kuwa mkweli ni mtu wa hovyo kuliko marais wote ...leo wamekutana nacho .....kesi za uhaini na mauaji ya kishenzi kila kona ufisadi wa matilioni kilq mwaka na hakuna hatua yoyote inachukuliwa niliwaambia watu kuwa ikulu ni mahali patakatifu hivyo ni hasara kuingiza makahaba mabasha au wahuni,.... leo kiko wapi ....kelele za chadema mama ana upiga mwingi zimeishia wapi.
 
Shekh kazungumza vizuri sana.jambo lipo mahakamani halaf anatokea kiongozi wa dini mwenye chucking za kidini anasema ,aachiwe bila masharti yeyote kwani huyo kiongozi wa dini ni nani?
Yeyote anayempinga huyu Shekh hana akili
Mbona kesi ya mbowe ilikuwa mahakamani na viongozi wa dini wakisema?
 
Sijawahi kuona mtu anaandika pumba kama wewe Lwiva !! Duh hivi ukisoma mwenyewe unajisikiaje?
Nielimishe pumba ziko wapi ? Kamuulize lissu kama nina andika pumba atakuambia ...maana Lissu yupo kwenye majuto na hasira kubwa sana kwa kusalitiwa na genge la kina Rostam Aziz na Samia walio kuwa wanamtumia kipindi cha JPM.
 
Pumba zangu huwa zinatimia kama zilivyo hata CHADEMA'S waliwai kuniandama hapaJF nilipo waonya kuhusu Samia ....waliniponda kama wewe ...niliwaonya kuwa samia awezi kuwa mkweli ni mtu wa hovyo kuliko marais wote ...leo wamekutana nacho .....kesi za uhaini na mauaji ya kishenzi kila kona ufisadi wa matilioni kilq mwaka na hakuna hatua yoyote inachukuliwa niliwaambia watu kuwa ikulu ni mahali patakatifu hivyo ni hasara kuingiza makahaba mabasha au wahuni,.... leo kiko wapi ....kelele za chadema mama ana upiga mwingi zimeishia wapi.
Bado unatapika pumba tu. Pole sana kunywa maji uteremshe nyongo
 
Nielimishe pumba ziko wapi ? Kamuulize lissu kama nina andika pumba atakuambia ...maana Lissu yupo kwenye majuto na hasira kubwa sana kwa kusalitiwa na genge la kina Rostam Aziz na Samia walio kuwa wanamtumia kipindi cha JPM.
Pumba ni hicho ulichoandika na bado unakirudia
 
Back
Top Bottom