Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

Sheikh mwenye akili ni mmoja tu, Sheikh Ponda basi, hao wengine ni mashehena tu, condom za Ccm.
 
Rekebisheni huo mkataba Mwarabu afanye kazi.
Mpeni hata miaka 50 ya majaribio. Msituchokoze kabisa.
Sisi ni watu wema sana.
Hii ndio kauli wa WATANGANYIKA
Mama Samia Hoyeee[emoji106][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama Kweli wee Ni muisalamu una akili Sana barikiwa ndugu
 
Dah!...kweli hii nchi ina wenyewe au 'king makers'........ tatizo kwa JPM alipambana zaidi na Chadema akawasahau waratibu na wawezeshaji wa upinzani dhidi yake waliopo huko chamani.
 
Anachofanya yeye haya ni mahubiri ?!!!

Hiki ndio Nyerere alichokiita kufirisika Ki-Fikra
 
Huyu sheh anatumika na nani?kama ni serikali hii inayoongozwa na rais muislam wanamtumia sheh mwaipopo anakaribisha hatari

Ila Chadema inayoongozwa na Wagalatia, kutumia maaskofu kwenye majukwaa ya kisiasa haikaribishi hatari.
Hukumu gani hiyo mnayoitoa?
 
Hii SERIKAL inamkumbatia yeyote aliyeko upande wake no matter anaongea Nini.

Sishangai kuona inatukanwa Matusi ya nguoni Kwa sababu ya ugoigoi wake. Unamwita Lissu na mwabukusi kumhoji una mwacha Mwaipopo?.

Afu Sheikh mnyakyusa Wapi na Wapi atakuwa wa mchongo huyu

Huyu Bwana ndo analigawa taifa vipannde vipannde. Hii NCHI Naona Hata Waze meno yanewaishia wamekuwa mabubu Hawana msaada kabisa.

Siku tumeanza kugawana mbao ndo mtaelewa mchelea mwana kulia atalia yeyé mwenyewe .
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…