Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

MWAIPOPO ANA LAANA YA KUMKANA YESU

AMEKUWA TAHRA KABISA.
Pia hajui kuwa waliotaka kujitenga na Tanganyika na waliokuwa na chuki dhidi ya Tanganyika yupo huyo huyo, kama alivyokuwa bosi wake na Mentor wake mkuu Amana Karume.
Yaani huyooooooo, ndio huyo uliemfikiri na wewe!. Sema hamumjui tu
Mmeingia cha kike Tanganyika
 
Wataarifu hao walioleta udini kwanza, pengine watakusikia na kubadili safu ya waalikwa viongozi wa dini. Kwa waalikwa hao, sijui pengine huwajui.
CHADEMA ama imejikoroga yenyewe ama imeamua kujipambanua.
Jikite kwenye hoja. Mkataba ni mzuri au kuna vifungu vimekaa kinyonyaji??

Wanao ingiza udini kwenye jambo la kitaifa ni machizi. Tujikite kwenye hoja inayuhusu mkataba. Kwa tz waislamu na wakrito ni ndugu moja
 
Nini kilimkuta Abubakary mwaipopo mzee wa mihadhara?
 
Toka lini amekuwa msemaji wa Waislamu ?
 
Maneno haya walitakiwa waseme Bakwata tiunakushuku Shekhe kujitoa mhanga huo ndio ukweli ndani ya vifua nya wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…