Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

Bado yupo hai huyu Shekh? au wameshampoteza?
 
Yuko tu sawa
Huyu Samia Zanzibar kamwe hawezi kuwa Rais wangemua kitambo sana. Muulize Asha Maremba yule aliwakashifu CUF aliishia wapi. Mwanamke hafai kuongoza ndio maana hata Mungu alimuumba kama msaidizi wa mume. Watanganyika tunaongozwa na huyu mama ni laana hii. Kikwete nakuombea kila uchwao mauti yakufike.
 
sikiliza, kweli bado yuko hai?
Anaesema mwanamke hapashwi kuwa Rais!

View attachment 3355358
Hayo maneno bila shaka itakuwa kabla ya SSH kuwa rahisi , kwa sasa hawezi kusema bali anaweza akayakataa kabisa

Hao ndio masheikh wa BAKWATA

NB
Kumbuka huyo huyo kwa kushirikiana na wenzake waliamuru misikiti yote ifanyike Dua ya kuombewa mama
 
Naomba msaada wa kujua, unasema muislamu hapaswi kuongozwa na asiye muislamu. Je hii ni kwenye mambo yanayohusu uislamu tu au ni kila sehemu? Nikiwa na maana hata kwenye siasa muislamu hapaswi kuongozwa na asiye muislamu?
Tafadhali naomba kuelewa hilo
 
Daaah leo ndo nimeanza kuiamini hii kauli
 
Hii itakuwa ya zamani japo haiondoi mantiki yake, nadhani huyu ndio Shekhe wa Mkoa wa DSM kama sikosei. Ingawa hoja yake inaweza isiwe na mashiko sana , sijui katika mktadha wa dini/imani yake.
 
Nimebase kwenye Dola kama nchi , malahi pakiwa pa Waislamu basi mtawala anatakiwa awe Muislamu na aongoze Kiislamu , hapo Kuna maslahi mengi katika dini mfano muda wa ibada mnaruhusiwa kufanya ibada hamto ambiwa huu muda wa kazi.

Ila ikitokea mpo mahali pengine kiongozi wa Dini nyingine na hawabani katika mambo ya dini yenu ni kheri kumtii ikiwa na ikiwa maslahi ya dini kama vile ibada , kusomesha ,kujistiri nk kunazuiliwa basi hama kaishi kwengine na sio kuOrganize kundi na kupanga njama za mapinduzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…