Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

Ethiopia ilitawaliwa na mwanamke kipindi cha nabii Suleiman.

Sikilizeni hiyo video mpaka mwisho sio kipande
 
Ethiopia ilitawaliwa na mwanamke kipindi cha nabii Suleiman.

Sikilizeni hiyo video mpaka mwisho sio kipande
Ushasema nabii Suleiman, hata Biblia inasema malkia wa Sheba alienda Mashariki kutafuta hekima ya Suleiman (dume)
 
HAYO MANENO ALIYOSEMA AMESOMA HADITHI YA MTUME SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM...NA ALIFUNDISHA HILO DARSA PENGINE MUDA SANA KABLA HAJAWA HATA SHEIKH WA MKOA..NA KABLA HAJAWA RAIS.
Cha msingi alichosema ni kweli au si kweli?

Ukweli ni wa milele hauna muda maalum wa kutumika ukweli muda mwingine usitumike, huo ndio unafki hata hivyo vitabu pia vinakataza unafiki.
 
Huyu Sheikh, akiitwa tena atoe haya mawaidha, hatakubali hata kwa fimbo. Kapiga kwenye mshono pale pale. 😁

Hii nchi usikose bando tuu. 😁
 
Kwahiyo wote sasa tunakubaliana mwanamke hawezi kuwa Rais.

Huyu amerithi Urais wa marehemu kumalizia muda uishe sasa amenogewa hataki kutoka.

Huyu Samia si Muislamu? Anaijuwa Qur'an?
 
Whatever kikubwa kasema ukweli hata walipofanikiwa kina Angel Merkel, Queen Elizabeth, Margreth Thatcher, bi Indira Ghandi na wengineo dume lilikaa juu hata kama behind scenes, sasa single maza anawezaje?
Hapa kwetu Mkwele ndio yuko behind the scenes, aliferi miaka kumi yake ataweza nini sasa hivi?

Wamegeuza nchi shamba la Bibi, na hii mikakati yote miovu siyo kazi ya Samia, kuna waliopo nyuma ya haya.
 
Haiseh...!
Watu wanaweza kufukua makaburi:
Leo akiulizwa ni lazima akanushe:
 
Haiseh...!
Watu wanaweza kufukua makaburi:
Leo akiulizwa ni lazima akanushe:
Saa hizi ameshikwa na tumbo la kuhara, usubili kusikia Tcra ikipiga marufuku hiyo video na Sheikh kuita press conference kuikana na kuwasingizia Wakenya mameiedit na AI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…