imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Acha kukurupuka dogo.MTETEA MAOVU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kukurupuka dogo.MTETEA MAOVU
WALIOKO NDANI NIKUTOKANA NA MABAYA YAO HIVI UNASEMA MBOWE ATOKE NJE WAKATI KUNA WATU KAUA KINA WANGWE KINA SAANANE KWAAJILI TYU YA UCHU WA KUWA MWENYEKITI HALAFU UNAKUJA KUHARISHA HAPA KUWA WAACHIWE WATU MAGEREZANI SI UJINGA HUO KAA KIMYA KAMA HUWEZI KUONGEA YA MAANA
Is it??? Hii siikumbuki nadhani ilinipita. Ilikuwa lini?Alishawahi pigwa risasi morogoro akifanya mihadhara anajiheshimu anaheshimika namuheshimu sana
Huyo Boya asikusumbueZingatia matumizi ya herufi stahiki panapo paswa. Kwa mwendo huu hayupo wa kusoma ulichoandika ..
wanabebwa na polisi pekeeCCM wanaona ile Monopoly yao ya kutawala inaelekea ukingoni kama ilivyokuwa kwa UNIP na KANU 😀
Haya mambo ya kuiba Kura na kutuma Wasiojulikana na kuzuia mikutano ya hadhara ya Upinzani ni dalili za mwisho za mfamaji.
Kuna sheikh mkuu ni kada wa CCM?Huyu ndiyo alipaswa awe Shelhk mkuu wa Tanzania na siyo yule kada wa CCM
Mungu mbariki Shehe PondaSheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:
View attachment 2021205
Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:
"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
Nilipokuwa mdogo sekondari skuli niliamini na kuaminishwa kuwa sheikh Ponda ni mtu mbaya.. asiyefaa katika jamii, muuaji, gaid n.k
Nashukuru nimekuwa mtu sasa naamini kinyume chake.
Naomba Mungu anisamehe kwa fikra zile utotoni.
Is it??? Hii siikumbuki nadhani ilinipita. Ilikuwa lini?
Shekhe Ponda, Mungu akubariki. Nina hakika unaliishi neno la Mungu.Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:
View attachment 2021205
Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:
"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:
View attachment 2021205
Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:
"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
Waanzie wapi kupinga nini mkuu?
Huu ndiyo ulio ukweri!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Huyu Sheikh ponda huwa ana misimamo yake isiyo yumbishwa kwa upepo wa misimu... Sijajua tatizo au ugumu unakuwa wapi kwa viongozi wengine wa dini kuwa kama huyu mzee.!!!
Mtaani tunawaita mashehe wa shughuliWale kazi yao iliyobakia ni kutembea na Ndizi mbivu kwenye mfuko wa kanzu na kutafuta wapi kuna ubwabwa.