Albadili imesema afe kwa ajali na imetokea kweliKafa yeye na mkewe
Lakini kafa kwa sababu ya ajali.
Kutoka magugu babati mpaka chemba ni 2hr :21m
Katoka magugu saa 12:30 jioni saa mbili anapata ajali tayari kashaipita chemba kwa maana katembea saa moja na nusu umbali ambao alitakiwa kutembea masaa mawili.
Speed speed ajali kama ajali zingine.
Punguzeni uzushi Albadiri haijamuua.
Kama Yuda alivyofuga majini na kuyatumia,kumuua Yesu.Wenzetu wapo wazi wanafuga majini na wanayafuga kabisa View attachment 3460877
Alimaanisha AllahuNeno Allah ni neno la kiarabu,linaaanya Mungu,hata biblia za kiarabu,limeandikwa jina hilo kuwa makini.Ni sawa na Kusema God(english),Kwa hiyo fala ni wewe,usiyejua kama Mungu anaitwa majina tofauti katika Lugha tofauti.
Quruani 46:29. inasema , nawakati tulipo waletea , kundi la majini kuja kwako kusikiliza Quruani. basi walipo ihudhuria walisema isikilizeni, na ilipokwisha somwa walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya. ( hili neno kaumu ni umati wa watu flaniKama Yuda alivyofuga majini na kuyatumia,kumuua Yesu.
Toka hiyo dini ya kikirusto,iliyotumia majini,kumuua Yesu kwa kupitia kwa Yuda,ikiwa Yesu aliweza kuuliwa,na kubebwa na majini juu juu mpaks mlimani,wewe ni nani wa kubaki huko,kwenye dini ya majini yaliyomuua Yesu kiptia kwa Yuda
Kwanini unamtukana mwenzako?Kichwa pumbu katika ubora wako.....
Neno ni hilo hilo kwrnye Biblia za kiarabu,zikomaanisha Mungu.Kila lugha neno Mungu,lina jina lake.Alimaanisha Allahu
Haiwezekani ikawa ajali ya kutengenezwa? Assassination?Albadili imesema afe kwa ajali na imetokea kweli
Ulimwengu wa majini uk 30Toka hiyo dini ya kikirusto,iliyotumia majini,kumuua Yesu kwa kupitia kwa Yuda,ikiwa Yesu aliweza kuuliwa,na kubebwa na majini juu juu mpaks mlimani,wewe ni nani wa kubaki huko,kwenye dini ya majini yaliyomuua Yesu kiptia kwa Yuda
Ulimwengu wa majini uk 30hamna hiyo kitu albadili hata useme nini
Majini Ni Malaika wa shetani Na hayo majini Ni ndugu za waislamu Soma Quran 72:14Toka hiyo dini ya kikirusto,iliyotumia majini,kumuua Yesu kwa kupitia kwa Yuda,ikiwa Yesu aliweza kuuliwa,na kubebwa na majini juu juu mpaks mlimani,wewe ni nani wa kubaki huko,kwenye dini ya majini yaliyomuua Yesu kiptia kwa Yuda
Mimi na albadili wapi na wapi ndugu yangu mimi ni wale tulioamriwa tukipigwa shavu hili tugeuze na lengine sasa nitayajua wapi mimi hayo mambo?hizo albadili munazijua nyinyi
Kadome Biblia Yesu slibebwa na mjini,juu juu mpaka mlimani.Yesu alishindwa kujiokoa kwa majini ya mwanafunzi wake Yuda,akaonekana alikojificha,wakamkamata,wakamtesa,wakamsulubu wakamuua.Chzea majini wewe sio mchezo.Mpaka leo Yuda,anaitwa msaliti,neno Salita,asili yake ni jina la mfuga majini,kwa hiyo Yuda,alikuwa anafuga majiniMajini ( MAPEPO) ni waislamu. Quran 72;14
HuendaAlbadili imesema afe kwa ajali na imetokea kweli
1). MAJINI WANAJIELEWA, WANADAMU WANAJIELEWA KWELI?.Kadome Biblia Yesu slibebwa na mjini,juu juu mpaka mlimani.Yesu alishindwa kujiokoa kwa majini ya mwanafunzi wake Yuda,akaonekana alikojificha,wakamkamata,wakamtesa,wakamsulubu wakamuua.Chzea majini wewe sio mchezo.Mpaka leo Yuda,anaitwa msaliti,neno Salita,asili yake ni jina la mfuga majini,kwa hiyo Yuda,alikuwa anafuga majini
Yesu alibebwa juu kwa juu na majini ni wenzake Yesu haoMajini Ni Malaika wa shetani Na hayo majini Ni ndugu za waislamu Soma Quran 72:14
Sasa waislamu wote pamoja Na Majini Ni Malaika wa shetani poleni sana waislamu
Hapana mkuu, Allah ni jina la cheo - Mungu wakati, Allahu ni jina halisi la huyo mungu. Mfano, Mungu wa wakristo jina lake anaitwa Yehova, ndivyo ambavyo Mungu wa waislamu anaitwa Allahu.Neno ni hilo hilo kwrnye Biblia za kiarabu,zikomaanisha Mungu.Kila lugha neno Mungu,lina jina lake.