TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Tatizo Africa na nchi masikini, kufanya uchunguzi wa vifo na ajali ni hakuna tu

Hata wahusika au polisi huwa wanabuni tu hiyo ajali na kufikia hitimisho

Hakuna resources za kufanyia uchunguzi

Sasa hapo kama wabaya wake walimwaga mafuta ya breaks nani atalijua hilo?

Au kwa upumbavu wa wachache basi wataamini kisomo kimetiki.

Yule muongo aliesema Mange atakatika vidole na Mange akasema ntaandikia miguu mbona bado anaandikia vidole vyake?

Hela za kufanyia uchunguzi hazitoshi Ndio maana hata vifo vya majumbani havifanyiwi postmortem examination
Tunazika tu hata kama baba alinyongwa na mtoto usiku ili dogo achukue mali
Mnasema kafa ghafla masikini
 

Makelele ya maombi haya ya kazi gani na yeye anajuwa anaenda kufa kwa ajili ya watu?


Yesu alipaza sauti kwa nguvu hasa akiwa msalabani aliposema, "Eloi, Eloi, lama sabachthani?" ("Mungu wangu, Mungu wangu, kwa nini umeniacha?"
Kaisahau mission au ndiyo mission impossible
 
Endeleeni tu kutapeliwa ,

Kwenye hizi dini watu hawataki kutumia akili
Mungu hujibu maombi yenye Ukweli/Uhalisia na sio Fitna.
Kama ni kweli alichokuwa anafanyiwa ni FITINA ina maana Mungu hawezi kujibu hivyo kilichotokea ni ajali ....

Nirudi kwenye mchango wako hapa; ni kweli kabisa kwenye hizi Dini watu hawatumii akili kabisa
Mfano: Mchungaji Kibwetere aliua watu kwa mamia kule uganda akiwaaminisha siku ya mwishio imefika
na sasa kinachoendelea hapo Kenya Mchungaji mwingine ameua watu kwa mamia kwenye misitu ya shakahola na bado wanaendelea kufa....na bado watu hawatumii akili kumtafuta Mungu wa ukweli....
Yesu alisha tuonya kuwa; WATU WANGU WATAKUJA KUANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA!
 
Sasa mbona Netanyahu huwatembeza kichapo, wameshindwa kumuombea hayo mavitu.
 

whataboutism ? ...
 
Mkuu toa Elimu ili Maamuma wakuelewe kwa usahihi.
 
Hivi hakuna sheria inayoweza kutumiwa hawa wakatiwa hatiani? Maana haya ni mauaji kama mauaji mengine.
 
Hapo onadqiwq ama alisemewa

Huaminihioo duaa eeh
 
m nilishawahikumtom. a. Mke wa mtu ofisini akanionya wewwwee sielewi mama anatoa kila kitu. .

Ndugu mwezi mwingi nkaletewa barua wanapunguzq watu 90 m m oja wapo sikutaka kumrudiaa nikaenda

NNikajiongezahanden jamaa akqniambia kakumalizq nyotaazote

ndugu achatu miezi miwili nkasqmbaza cv nkamua kuchagua niendewapi
 
Uko sahihi.Msiba wa mswahili haukosi sababu
 
Naunga mkono hoja yako
 
RIP,,,, mkoa wa Tanga sio aisee unawatu wenye wivu na roho sio 💔, sindio huko waliroga hadi gari la mkandaras likawa halionekan mara waligoma barabara y’a kuwasaidia wenyewe isijengwe💔
 
Nakuunga mkono,asilimia mia moja.Nq aliomba kikombe cha mauti kimuapuke
 
Narudia tena waislamu na hizo albadir zenu mnaongoza ona sasa mmeenda kumtumia sheikh jini apate ajali afe halafu mnajifanya mmemuomba Mungu
 

Kumbuka tu kuwa; Mungu hujibu maombi yenye Ukweli/Uhalisia na sio Fitna. Wewe mwenyewe umeweka ushahidi hapo kuwa alichokuwa anafanyiwa ni FITNA ambapo tunajua kabisa kuwa Mungu hawezi kujibu fitna; hivyo kilichotokea ni ajali kama ajali na sio Albadru....tafuteni elimu kabla ya kuleta hoja za ajabu ajabu huku majukwaani......
 
Aljisahau.Weww hebu fikiria Yesu na ukubwa wake wote,lakini alisalitiwa na Yuda mwanafunzi wake, kwa vipande vys fedha,na wakamkamata,maadui zake,wakamsulubu
 
Unampigia mbuzi gitaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…