Sheikh Sharif Jeylan: Niliwafungisha Ndoa Jini Na Binadamu na hadi sasa wanaishi pamoja..

Sheikh Sharif Jeylan: Niliwafungisha Ndoa Jini Na Binadamu na hadi sasa wanaishi pamoja..

Sio sahihi kwa mujibu wa sheria za uislam, ni ushirikina huo na moja ya makatazo makubwa katika dini ya kiislamu ni pamoja na ushirikina..
Kwahiyo huyo mbobezi shehe hazinui sheria za dini ya haki?!
 
Sio sahihi kwa mujibu wa sheria za uislam, ni ushirikina huo na moja ya makatazo makubwa katika dini ya kiislamu ni pamoja na ushirikina..
وَاتَّبَعُوا مَا تَتْلُو الشَّيَاطِينُ عَلَىٰ مُلْكِ سُلَيْمَانَ ۖ وَمَا كَفَرَ سُلَيْمَانُ وَلَٰكِنَّ الشَّيَاطِينَ كَفَرُوا يُعَلِّمُونَ النَّاسَ السِّحْرَ
 
Kwahiyo huyo mbobezi shehe hazinui sheria za dini ya haki?
Note kwamba kwa alichokisema , na kama alifanya hivyo kwa ajuavyo yeye anapaswa kutubia kwa Mwenyezi Mungu, huo ni ushirikina dhahiri!!! Na hoja ya kuwa mbobezi hailalishi uovu huo kwa mujibu wa alichokisema. Mifano ipo mingi katika maisha ya kawaida let say sheria mbalimbali zinavunjwa na watu wanaozisimamia na kuzijua sheria, kwa hiyo huo ni utashi wake binafsi na matamanio yake.
 
View attachment 3093114

Manara TV imepata fursa ya kuzungumza na Sultan Sheikh Sharifu ( @shekhsharifjeylan ) na amezungumza mengi sana.

Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi leo wanaishi pamoja.

Kuitazama Full Interview Ingia Youtube Kwenye Channel Ya Manara Tv
Source manata tv
Kina dini zingine wee acha tu.
Yeye mwenyewe anajua si sawa lakini kwa kuwa amekuwa mtumwa wa hayo, ana majini pia, anaendeleza kuyasambaza.
 
MAKAFIR MKISIKIA UISLAM HALISI MNAGHAFIRIKA.
moden Muslims ni tatazo katika uislam ndiyo maana bokoharam na makundi mengine ya uislam hayacheki na nyie.

Halafu wao wanacheka?.Mbona wanalia bila hata kupigwa?
Kuua watu wasiokuhusu ndio kuwa na dini? Huu ni ushetani
 
Back
Top Bottom