Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

Hawa ndio think tank wa dini ya kiislamu, kama Shekh Yuko hivi vuta picha waumini anaowangoza wakoje?

Kiongozi wa dini ni mtu anayeheshimika sana unatakiwa uwe unaongea madini tu na sio utumbo.
 
Vitu gani hivyo tunahitaji uthibitisho ili tuvijue au unazani kanisa katoliki ni kama vigango vyenu. Mtaletewa sana tende na nyama mvaa makubazi akipewa bandari lakini kamwe hatokaa kuwapa njia za kushika uchumi.
Msumari wa kichwa kwa kanisa umeshapigiliwa.Dp world Bandarini milele![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya Kaisari muachieni Kaisari lakini ajabu Dp world mnaijadili kanisani![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Maamuma huyo
 
Hii ndiyo akili za hawa viumbe wanaosema hapana Kwa wale wanaotaka kutoa rasimali za nchi Kwa ulaghai walaaniwe ,lakini wanaotoa raslimali za watanganyika na vizazi vyao wabarikiwe! Kwli miungu ni tofauti sana
 
Tupe level ya elimu yake.

Tunaitaji watu wajadili mkataba kisomi kwakua ni mkataba wa kisheria utakayoifunga Tanzania na Watanzania na rasimimali zao kimataifa.

Hatuwezi kuwasikiliza watu waliishia darasa la saba na wanao endeshwa na stori za viviweni ama imani za kidini, dini ya Mwaarabu ama dini ya Mzungu zilizoletwa kuwateka Waafrika kifikra.

Tupe level ya huyo Arab pet!
 
Sijawai kumwamini sheikh Kabeke hata mara moja. Huyu jamaa ana chuki za waziwazi kabisa na Wakristo. Huhitaji tochi kuliona Hilo.
Kwani yeye anasemaje kuhusu mkataba wa DP WORLD, anaukubali kama ulivyo au warekebishe vipengele tata. Maana na yeye anaonekana kuongea kwa jaziba kama hao anaowatuhum.,
I
 
Huyo yupo chuo kuanzia ana miaka 3.

Huwezi mpata kabisa kiwango chake. Usipime.
 
Nikurekebishe hapo kwa NECTA kuhujumu shule za waislam hilo si kweli shule nyingi za waislam zimejaa mambumbumbu na wanafunzi wengi wa mwambao wa pwani pamoja na shule zake nyingi wanafunzi ni wazito sana kuelewa tena sana kifupi hapa usiwaonee NECTA waislamu wengi ni vilaza sana asee hili nina uzoefu nalo kabisa
 
Polo...
Unazungumza kitu usichokijua.

Waislam tulitishwa kuwa endapo tutaandamano tutapambana na nguvu za dola.

Tuliandamana vyombo vya dola vilizuiliwa wasitushambulie kwa kuwa tulikuwa na ushahidi wa hujuma.

Ikiwa Waislam watashambuliwa labda pakatokea vifo kisha wakautoa ushahidi wa dhulma za NECTA serikali itakuwa matatani.

Baada ya maandamano yale mitihani ilisahihishwa upya na vijana wa Kiislam wakapata haki zao.
 
Unaongea ongea tuu shule za waislamu nyingi zimejaa vilaza pamoja na shule za mwambao wa pwani, wakati wenzenu wakristo wanajenga shule nyie mlikazana kujaza misikiti pwani sahiz mnalalama nini? Kila mtu akale aliko peleka mboga.
 
Unaongea ongea tuu shule za waislamu nyingi zimejaa vilaza pamoja na shule za mwambao wa pwani, wakati wenzenu wakristo wanajenga shule nyie mlikazana kujaza misikiti pwani sahiz mnalalama nini? Kila mtu akale aliko peleka mboga.

Huyo mzee hawezi kukuelewa ni sikio la kufa,akimaliza hapo atakuja na mapicha picha aliyopiga ulaya na wazungu,hakika ulimbukeni umemjaa.

Kimsingi suala la mwamko wa kielimu ni tofauti sana kati ya jamii za pwani zenye waislamu wengi na jamii za bara zenye wakristo wengi. Hili halina ubishi.

Dini ya kiislamu haidhamini elimu dunia wao ni elimu akhera na kuona na kupeana talaka ndio wamejikita huku zaidi.

Halafu bado wanataka usawa katika ajira,yani inasikitisha sana.
 
Huyo yupo chuo kuanzia ana miaka 3.

Huwezi mpata kabisa kiwango chake. Usipime.
Hujajibu swali dada yangu. Chuo Madrassa tangu ana miaka mitatu ni aya za kiarabu tu atakua anazijua kwa ufasaha na sio elimu na upeo wa akili.

Mimi nimesoma seminary, Catholic Seminary. Utaratibu wa kuwapata Mapadre uko hivi:
1. Ni lazima uwe na uwezo mkubwa wa kiakili darasani, yaani huchukua wanafunzi wenye ufaulu wa juu tu.
2. Nilazima upasi kwa maksi za juu tuu na ni all the way to hugher learning institutions na ndio masomo mengine ya upadre ufuta kuanzia daraja la USHEMASI.

On the other hand, Mapastors wa kikristu ni self-appointed wachungaji na ni kama masheehe tu Wakislam, yaani unaweza amaka na kuukaa madrassa ukawa shekhe, ndio maana, mapastor, mashekhe wanaleta sana taharuki kwenye jamii kwasababu ya uwezo mdogo wa kiakili uliochanganyika na pandikizi la mambo wasioyajua kwa undani kama (Imani, Dini ni nini?)
 
sasa kijana elimu ipi duniani hapa Duniani ambayo haijaanzia au kupaishwa na wasomi kutokea madrassa?

Bila neno 'madrassa" hata neno madarasa ungekuwa nalo leo hii.
 
Ukisoma bandiko hili na ukitazama orodha ya wahutubiaji mkutano wa kesho , kama taifa kuna tatizo sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…