FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Binafsi ni mwanafunzi daima, sijaacha kusoma na ln shaa Allah sitaacha kusoma.Wewe huitaji kuelimishwa,kwa unavyodhania umefikia level kubwa sana kielimu kiasi kwamba huwezi kujifunza kwa watu wengine what an arrogance!Tukikufuatilia sana ww na kipenzi chako sheikh Mohammed mmefundishwa na kuelimishwa na Makafiri.Ambao kama wangeamua ku boast kama nyie kwa academic excellency pangechimbika.
Kuwa na akiba ya maneno kuna watu wana elimu na uelewa mpana wa elimu kuanzia historia na fani nyinginezo nyingi ila wameamua kukaa kimya.
NB:One thousand muslim clerics in Tanzania =One Jesuit parish priest
Hilo la kusoma ni amri kwangu kutoka kwa Allah, halina mjadala.
Point is, hao wasomi wako wote uliowataja hakuna aliyekuja na historia ya uhuru wa Tanganyika kama nnayojifunza kwa Alama Mohamed Said.
Walikuwa wapi?
Unamfahamu Mshume Kiyate na mchango wake katika uhuru wa Tanganyika?