Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Nimesema nakuelimisha wewe. Huyo Mohammed Said ametokea wapi? Naona unajaribu sana kumvuta ili aje akutetee.Tatizo huuelewi Usultani wala Ufalme.
Na huelewi kuwa hakukuwepo hata neno "chifu" kwenye utawala sultani. Hata hao "machifu" wenyewe walikuwa hawalijuwi neno "chifu" mpaka alipokuja Muingereza.
Rudi kafanye homework kabla hujaja kulumbana na mimi..
Naona hoja ya neno "chifu" ilikukwida umekuja na kubwabwaja na kuhororoja mpaka povu. sasa mimi tu linakutoka povu, wewe ndiyo wa kumuelimisha Alama Mohamed Said kuhusu historia ya Tanganyika?
Usianzishe vichekesho.
Nilijua toka mwanzo kuwa napoteza muda wangu maana hauelimiki. Sina haja ya kuendelea kupoteza muda wangu kwa mtu ambae hata kusoma hajui. Nimekwambia neno chifu linatokana na "chief" la kiingereza na kuwa watawala wa kiasili walikuwa na majina yao yanayotokana na kabila lake. Majina kama Mangi, Mtemi n.k. Kwa sababu hawakuitwa machifu haina maana kuwa hawakuwa watawala kamili katika makabila yao. Hili hulioni. Wewe unashikilia tuu kuwa masultani wako ndio waliotufundisha mambo ya utawala. Pathetic. Unanipotezea muda. Kwaheri ya kuonana Faiza.
Amandla...