nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 2,087
- 2,855
Tabia mbovu, mmedanganya watu wapigize uso chini mara tano kwa Siku kumbe nyie mnapiga hela tu, mi hua nashangaa kwa nini nyuso za waarabu hazina alama usoni sijui mnaita sigda!! Wakati wabantu hasa wazenji wanatwanga uso hadi unavimba, wengi utafikiri wanavijipu kwenye paji la uso, lakini walioleta dini hata upele hawana!!!Sisi waarabu tunaenda msikitini jumaa mubarak tu, sio swala Tano na sisi waarabu tuna amini katika utajiri . Ndugu zangu badilikeni ufuate utajiri wa pesa na Mali nyingi bila kujali chanzo Cha utajiri wako.
Allahummah akhadiyr wa'ahannaum zakha'iin. Amiin.
Tokeni gizani, njooni kwenye nuru, Yesu ni nuru huyo wa kwenu ni giza totoro...
Mi hata baiskeli sina, napanda bodaboda sasa tunafanya kazi ya Mungu, Hakuna Askofi anayepanda bodaboda wala hakuna Padri anayepanda bodaboda, Waislam tuko nyuma sana, halafu bahati nzuri waumini wwetu hawatupendi yaani ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?
Kwani unafikiri mpaka amekuwa sheikh hajasoma? Jidanganye.Wakasome Sasa MTU umeishia memkwa ufanane na askofu mwenye masters na PhD?
FaizaFoxyUmasikin ni mbaya sana, utaambiwa ule hata mavi kwasabab ni suna... Tafuteni pesa Mungu hapendi umasikini... Mwenzako anakesha kutafuta pesa aishi vzuri na familia yake wewe unakesha kusali Γ5 eti upate thawabu π©
Acheni kufuata yanayoonekana! Fuateni yasiyoonekana!
Mi hata baiskeli sina, napanda bodaboda sasa tunafanya kazi ya Mungu, Hakuna Askofi anayepanda bodaboda wala hakuna Padri anayepanda bodaboda, Waislam tuko nyuma sana, halafu bahati nzuri waumini wwetu hawatupendi yaani ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?
Tokeni gizani, njooni kwenye nuru, Yesu ni nuru huyo wa kwenu ni giza totoro...
allah anasemaje kuhusu wale mademu 72 wa peponiNaam, umeniita?
Tatizo nini?
Allah hasemi lolote kuhusu ujinga huo wa kujitungia.allah anasemaje kuhusu wale mademu 72 wa peponi
Inauma sana unatembea kwa miguu miaka nenda rudi unaambiwa sunnanaona shehe kajilipuaaaaaaaaaa
Mi hata baiskeli sina, napanda bodaboda sasa tunafanya kazi ya Mungu, Hakuna Askofi anayepanda bodaboda wala hakuna Padri anayepanda bodaboda, Waislam tuko nyuma sana, halafu bahati nzuri waumini wwetu hawatupendi yaani ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?
Piga spana , piga utosoni, Waislamu wabadilike Masheikh wapewe sadaka na ile zako inayotolewa na waumini
Mi hata baiskeli sina, napanda bodaboda sasa tunafanya kazi ya Mungu, Hakuna Askofi anayepanda bodaboda wala hakuna Padri anayepanda bodaboda, Waislam tuko nyuma sana, halafu bahati nzuri waumini wwetu hawatupendi yaani ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?
ππππ€£

huyu sheikh ana shida badala ya kutafuta gari anataka kuchangiwa kama Lissu, mbona wapo wenye magari wao wameyapata wapi?