Sheikh: Waislamu tuko nyuma sana, hakuna Askofu anapanda bodaboda, ukitembea kwa mguu wanasema Sunah

Hili ndo tatizo la kutafuta maslahi kwa mgongo wa dini! ... Hapa mnafananisha mambo mawili tofauti kabisa na yote ni ktokana na kukosa uelewa. U-Shekhe sio career katika uislamu na ndio maana utaona wanazuoni tofauti tofauti pamoja na swahaba pia wote walikuwa na kazi zao pembeni, kuendesha kwake gari ni rizki aliyopewa na Allah na kama hakupewa asionee choyo mwenye nacho. Hata Bukhari alifanya biashara, sembuse wewe shekhe wa mtaani kwenu?

Watu wanaofaa kupewa mishahara kwa kazi ya dini ni wale ambao wameshindwa kufanya kazi zao binafsi kutokana na majukumu ya kuingozi wa kidini waliyopewa. Hawa wanapaswa wapewe mshahara kutoka katika hazina ya dini (Baitul mali), lakini pia rejea pia kwenye history makhalifa wa mtume Abubar Siddik (RA) na Omar Khatwab (RA) walichukua nini kutoka katika baytul mali kama sustainance yao? ... Kwa sasa tungesema ni minimum wage kabisa. Omar alimkasiria mpaka mke wake kwa kumpa samli alie mkate wakati waislamu wengine hawajapata kama hivo! .... Omar alitaifisha mpaka Ngamia wa mwanawe kwa kuwa alihudumiwa zaidi kuliko Ngamia wa watu wengine katika machungo ya jamii ... Omar na mtumishi wake walitumia mnyama mmoja kwa zamu walipokuwa safarini! ...

Uislamu una misingi yake, ukianza ku-adopt misingi ya dini nyengine kwenye uislamu unakosea, hili utaligundua hata katika Zaka kwenye Uislamu kuna watu maalumu wanaopaswa kupewa lakini kwenye ukristo zaka ni mali ya kanisa!
 
Nawekea mkazo kidogo kwa watu wote na madhehebu yote hapa nchini kwetu " KIONGOZI WA DINI KUISHI MAISHA MAZURI SIO DHAMBI ILI MRADI HAIBI , HADHULUMU , HATAPELI "
 
🤣🤣🤣
Dini yetu imekamilika
Na asiyefanya kazi na asile
Tunajitambua, ndio maana michango ni marufuku
Hatuwezi kumchangia padri aishi kwenye nyumba ya bure huku anakula mbususu za masista kwa kuwapanga mstari
Wa kwetu akiiba zaka, atatafuta pa kujifukia
 
Watoto wa mnyaazi mungu ni wagumu sana kwenye utoaji ubinafsi ni mwingi sana kwao kila mmoja anajiangalia kwanza yeye, Sadaka zenyewe za mia 2 hilo gari atalipata lini😆 alafu mtu mwenye elimu ya memkwa (darasa la 5 c) alafu unataka utembelee gari kama Askofu au Mchungaji mwenye diploma, degree au masters kweli inakuja hiyo😆
 
Wakasome Sasa MTU umeishia memkwa ufanane na askofu mwenye masters na PhD?
Kwani unadhani mtu yeyote tu anakuwa Sheikh bila ya kusoma?Na masheikh pia wanasoma miaka na miaka ila utofauti wake ni kwamba tu hawasomi circular,kitu ambacho ni sawasawa tu na Mapadri wanaosoma Theology.
Kwa hiyo huwa wanapelekwa nchi mbalimbali kwenda kusomea elimu ya dini nchi kama Yemen,Saudia,Oman na nyinginezo kisha wanarudi nyumbani kwenye kazi za kujitolea lakini wale waliosoma nao ambao wametokea nchi kama Egypt,UAE,Oman,Saudia wakirudi kwao wanapewa kazi/ajira au vyeo na wanalipwa mishahara yaani nchi za wenzetu Imamu wa msikiti,mpiga adhana,anayefundisha elimu ya dini,mfanya usafi wa msikiti wameajiriwa rasmi na wanalipwa mishahara.
Kwa hiyo shida ni utamaduni wetu sio ukosefu wa elimu,nikisema utamaduni wetu namaanisha hivi,kwenye michango waislamu huwa hatutoi kirahisi ukilinganisha na wakristo ambapo mtu mmoja anaweza kumchangia padri milioni 1 kwa hiyo wakichanga watu 3 tu kama hawa padri ana maisha tayari ila upande wa waislamu unakuta watu ambao wenye kipato cha chini ndio wenye moyo wa kutoa kuliko wenye kipato cha juu sio kwamba hakuna watu wenye pesa wapo wengi tu hata ukihesabu top 5 billionaires utakuta wote ni waislamu.
Wakasome Sasa MTU umeishia memkwa ufanane na askofu mwenye masters na PhD?
 
Jamaa unajibu kwa presha, punguza jazba
 
Kuna mambo huwa sikubaliani nayo lakini huyu sheikh angejua jinsi tunavyokamuliwa huko makanisani unatoa sadaka huku roho inauma yani,

kazi ya Mungu haihitaji malipo ni kazi ya wito hiyo kukamua waumini ili mtembelee magari na familia zenu ziishi vizuri ni kufuru hamna huduma hapo, wakristo baadhi wanawadhihaki lakini ni hao hao ndo wanaongoza kwa kulia na maumivu ya sadaka ama la hata huko kanisani hawapajui sababu ile hamu na imani ishakufa ajili ya hizo sadaka zisizoeleweka hupelekwa wapi, maana ya sadaka imeghasiwa kabisa
 
Hapo unazungumzia makanisa yenu ya Kilokole. RC Mapadri na Maaskofu hawana familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…