Unaelewa uongozi wa Parokia, au Kigango ynavyofanya kazi? Padri au Askofu wanakusanya sadaka?wana wazazi na ndg wengine pia au unataka kusema wameshushwa kutoka mbinguni, vilevile wapo mapadri wenye michepuko na watoto usijifanye hujui hili dhehebu linaongoza kwa unafiki
Mnajionaga nyie ndo wakristo wa kweli wakati huo mna mapungufu kibao, kwenye sadaka hamna tofauti yoyote na wakristo wengineUnaelewa uongozi wa Parokia, au Kigango ynavyofanya kazi? Padri au Askofu wanakusanya sadaka?
Hilo la michepuko mimi sio kazi yangu kuhukumu, Mungu ata wahukumu kadil8 ya matendo yao.
Pesa kuingia kwenye account ya kanisa na account binafsi ya mchungaji kweli hakuna tofauti?Mnajionaga nyie ndo wakristo wa kweli wakati huo mna mapungufu kibao, kwenye sadaka hamna tofauti yoyote na wakristo wengine
Hapo ni pesa inapigwa na kundi dogo nyingine inapigwa na kundi kubwa jiongeze ni wapi muumini anakamuliwa sanaPesa kuingia kwenye account ya kanisa na account binafsi ya mchungaji kweli hakuna tofauti?
Kwahakika, baadhi ya wenzetu wameishia tu kwenye Ilmu ya bikira 72Mapadri na Maaskofu wa RC ni wa bobezi kwenye elimu zote.
Kitu ambacho ukikifanya unapata thawabu na ukikiacha hupati dhambiHivi sunnah ndio kitu gani hasa..⁉️
Hata huko waumini wanalalamika kila siku kukamuliwa kwa sadaka kuwa nyingi both kanisani na katika jumuiyaHapo unazungumzia makanisa yenu ya Kilokole. RC Mapadri na Maaskofu hawana familia.
Nenda kule Gambosh na Sumbawanga upige hesabu kuna wakristo wangapi90% ya Waganga na walozi ni Waislam, pamoja na Majini
Kamwe huwezi kupinga hili Sheikh
Ni nyinyi makondoo ndio mnamchagia mchungaji hio hela ya vitzHahahahaha Shekhe yamemshinda akaona ayatue, kwakwel wako nyuma, ila utashangaa wao wana magari ila mashekhe wao wanatembea kwa miguu
Ila paroko kuua albino unapinga ndugu katekista?90% ya Waganga na walozi ni Waislam, pamoja na Majini
Kamwe huwezi kupinga hili Sheikh
Yawezekana kuna Wakristo wengi, lakini sio Waganga wa kienyeji, Waganga, Walozi, Waagua majiniwapNenda kule Gambosh na Sumbawanga upige hesabu kuna wakristo wangapi
Huo ni Uzushi SheikhIla paroko kuua albino unapinga ndugu katekista?
Hata akimiliki Serena zote sio vibaya, haimaanishi kuwa akiwa Mtumishi basi awe masikiniNi nyinyi makondoo ndio mnamchagia mchungaji hio hela ya vitz
Huku kwetu aendelee tu kutembea kwa kuwa kiongozi wa imani ni wito hakuna utapeli au atafute kazi
Endeleeni kuchangia mahoteli ya kitalii ya mitume wenu matapeli
View attachment 3023892
Nina Askofu namfahamu alisema hawezi kufa Bila kuacha kizazi kaandikisha watoto majina ya mdogo wake kuwa watoto wake na anatoa matunzo na Kila kitu na nyumba kajengea mdogo wake ghorofa anakoishi huyo Mkewe inasomeka jina la mdogo wake mdogo wake hakai hapo aliogopa kuandika Mkewe asije mdhulumu Huwa anaenda huko anashinda na mkewe Wana watoto watatu na saà hii mja mzito mtoto wa nnewana wazazi na ndg wengine pia au unataka kusema wameshushwa kutoka mbinguni, vilevile wapo mapadri wenye michepuko na watoto usijifanye hujui hili dhehebu linaongoza kwa unafiki
Watajifanyq kukubishia km kawaida ya unafiki wao ila hizi kesi zipo nyingi tuNina Askofu namfahamu alisema hawezi kufa Bila kuacha kizazi kaandikisha watoto majina ya mdogo wake kuwa watoto waoke na anatoa matunzo na Kila kitu na nyumba kajengea mdogo wake ghorofa anakoishi huyo Mkewe inasomeka jina la mdogo wake mdogo wake hakai hapo aliogopa kuandika Mkewe asije mdhulumu Huwa anaenda huko anashinda na mkewe Wana watoto watatu na saà hii mja mzito mtoto wa nne
Nyinyi ni makondooHata akimiliki Serena zote sio vibaya, haimaanishi kuwa akiwa Mtumishi basi awe masikini
Yaelekea wewe una mawazo ya wale masheikh masikini wa Buguruni malapa