Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

Hii nchi wagalatia wamejimilikisha, Na hakuna kikubwa wanachokiogopa zaidi ya Uislamu
Uislamu hauwezi kuogopwa hata kidogo kwasababu hata hao wapuuzi waislamu hawajawahi kuwa na umoja hii inatokana na kuwa akili zao ni fupi mno
 
kweli wewe ni mama mwajuma yaani unasimulia kitu ambacho hauna uhakika nacho kumbe reference yako ni Mohamed said? Hizo mali za waislamu unazotaja ziliporwa na nani?
 
Sawa tumekuelewa hkn neno
 
Iko siku nikiwa kwenye darasa zao nitainuka na kuwauliza mipete kazi yake ni nini? Mimi binafsi nikiona mtu na mipete mikubwa utasema hirizi hapo hapo namdharau tu. Pete ya ndoa tu vaa lakini mahirizi hapana.
Huwa mnapenda kushambulia vitu ambavyo hamvielewi, Pete na hirizi wapi na wapi mara sijui majini.
 
Ilimu ya kuran bila ilim ya mzungu ni hamna kitu
 
Hivi mufti huwa ana bodyguard
Maana k
Akihutubia baraza LA eid Jana kuna mtu alisimama nyuma yake,
 
Mkuu,

Sijajua uelewa wako juu ya swala alilozungumza Mufti likoje. Kwa clip uliyoweka hapo ni kuhusu mamlaka ya kuatangaza swala la mwezi.

Kumbuka maswala haya yanategemea miandamo ya mwezi, kwahiyo ni sikukuu ambazo kiuhalisia hazina tarehe iliyo kamili. Sasa jiulize, mamlaka isingekuwepo ya kutangaza, maswala ya utendaji kazi wa taasisi mbalimbali ungekuwaje?, maana kutangazwa kwake kwa mfano kunatoa muelekeo wa kiutendaji kwa serikali na taasisi mbalimbali nchini, kwamba leo ni siku ya mapumziko naa itadumu kwa siku mbili mfano.


So swala la mwezi mnauonaje hilo tuwaachie wataalam, lakini mamlaka ya kutangaza ni muhimu. Vinginevyo itakuwa chaos
 
Elimu...
 
haya yoote ungeyaelekeza kwake mufti! kuja humu kutuambia sisi ni majungu ya kiwango cha PhD.. halafu utasema ulikuwa umefunga! hovyo kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…