Shekhe aipinga vikali chanjo ya malaria mbele ya Waziri wa Afya, kisa ushoga; hamuogopi mtu yeyote!

Kwanini asihubiri ushoga kwenye madrasa na misikitini?
 
Mkuu taarab si mirindimo ya kiislamu, hapo unashangaa nini?
 
Mwambie waziri na sisi wa vijijini huku hio janjo inataka ifanyiwe tambiko kwanza, na harama za tambiko million 21 tu. Hii nchi hii acha tu🤣🤣
 
Mirindimo ya kiislamu kuanzia mwaka gani mkuu? uislamu umeharamisha mziki kwa aina zake zote.
Narudia tena, taarab ni muziki wenye haiba za kiislamu zaidi, hilo huweza kukwepa hata kama halikufurahishi. Sipingi uislamu wa kitabuni unasema nini, lakini habari ndio hiyo.
 
Narudia tena, taarab ni muziki wenye haiba za kiislamu zaidi, hilo huweza kukwepa hata kama halikufurahishi. Sipingi uislamu wa kitabuni unasema nini, lakini habari ndio hiyo.
Una ushahidi kutetea hoja yako? sio kila kitu ugeuze chadema na ccm mkuu sisi wengine siasa hazituhusu.
 
Mleta mada una kiwango gani Cha elimu pamoja na huyo sheikh wako. Au ni elimu ahera. Chanjo ni elimu dunia. Jifunze kidogo
Kiwango changu cha elimu na msimamo wa shehe kupinga chanjo za kishoga vina uhusiano gani mkuu?
 
Mirindimo ya kiislamu kuanzia mwaka gani mkuu? uislamu umeharamisha mziki kwa aina zake zote.
Mziki ni nini?

Zile aya mnatamkaga kwa kuimba-imba sio mziki? Au unafikiri mziki ni mpaka kiwe na magitaa na vinanda?

Na uislam Umeharamishaje wakati mnapiga Madufu? Au madufu sio mziki ule?
 
Mziki ni nini?

Zile aya mnatamkaga kwa kuimba-imba sio mziki? Au unafikiri mziki ni mpaka kiwe na magitaa na vinanda?

Na uislam Umeharamishaje wakati mnapiga Madufu? Au madufu sio mziki ule?
Hebu nitizame mara mbili, unaona sura ya kushika dufu hii? dufu? aliekwambia uislamu umeruhusu wanaume wazima na ndevu zao kukata viuno huku wanapiga madufu hewani ni nani?.

Hawapigi madufu isipokuwa walio makhanithi katika wanaume, kama alivyosema shaykhul islaam ibn taymiyyah allah amrehemu.

Ama Qur'an haiimbwi na ni haramu kuiimba Qur'an, Qur'an inasomwa, una swali lingine?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…