Shekhe Mwaipopo akitambulisha kikosi cha "tiger", kutembea juu ya madaraja

Shekhe Mwaipopo akitambulisha kikosi cha "tiger", kutembea juu ya madaraja

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
IMG_5165.jpeg
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari,

8. Anayezima Mtandao na kuzuia baadhi ya mitandao ya kijamii x, Twiter, Jf Jambo nk.

9. Anayewabambikizia kesi wapinzani zisizo na sababu zozote za Msingi na zilizojaa Upumbavu.

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA


AMKENI WATANGANYIKA.
HAKUNA ALIYE SALAMA.
 
Analipwa hela nyingi kuliko Polisi halafu Polisi bado wanabweteka tu
Amekuwa na Maisha mazuri lakini mabaya mno.

1. Analipwa pesa nyingi na selikali.
2. Anaulizi mkali sana.
3. Anatembea na gari la kifahari.
4 Amepewa nyumba kali na usalama wa hali ya juu.

Ila anakikosi cha Kiislamu cha Kigaidi hii itamtesa sana.
 
Waislam wengi hii kitu wanaichekelea au kuikalia kimya bila kujua hii huwa inabadilika maana watu waovu hutumia watu hawa hawa na kutengeneza kikundi cha kigaidi sasa serikali ikizidiwa huwa inabadilika na kuanza kamata kamata na mauaji ilikukizimisha kikundi hicho, hapo ndipo kelele huibuka kwamba waislam wanaonewa mara mfumo kristo nk.
 
Back
Top Bottom