comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Hezbollah Fulani hivi ya bei ya jioni
Na Maria Sarungi analipwa hela nyingi kuliko wewe ndio maana anaishi ughaibuni, lakini wewe kapuku unalipwa vocha tu ili kila wakati uwemo JF na jina lako bandia ukiwa umepanga "Kwa Mfugambwa!" Ahahahahaha!Analipwa hela nyingi kuliko Polisi halafu Polisi bado wanabweteka tu
Mimi ni Tajiri na mfadhili wa ChademaNa Maria Sarungi analipwa hela nyingi kuliko wewe ndio maana anaishi ughaibuni, lakini wewe kapuku unalipwa vocha tu ili kila wakati uwemo JF na jina lako bandia ukiwa umepanga "Kwa Mfugambwa!" Ahahahahaha!
Sawa kabisa mfadhili wa Chadema. Unatumia jina bandia kwasababu unaiogopa Serikali!Mimi ni Tajiri na mfadhili wa Chadema
Kumbe akili ya kuvukia barabara unayo !Sawa kabisa mfadhili wa Chadema. Unatumia jina bandia kwasababu unaiogopa Serikali!
Nimekusoma!
Kazi na Utu; Tunasonga Mbele!
Huyu mpumbavu anaingizwa na US kama moja ya magaid.Amekuwa na Maisha mazuri lakini mabaya mno.
1. Analipwa pesa nyingi na selikali.
2. Anaulizi mkali sana.
3. Anatembea na gari la kifahari.
4 Amepewa nyumba kali na usalama wa hali ya juu.
Ila anakikosi cha Kiislamu cha Kigaidi hii itamtesa sana.
Endelea kujificha mwaya na uwadanganye wajinga kama Polepole na Ben Saanane.Kumbe akili ya kuvukia barabara unayo !
Huyo sio mfano wa uislamu mkuu ni dalali tu mjanjamjanja.Naimani waislamu ni watu wema mno, ila Wapumbavu wachache wanafanya uislamu iwe dini ya wangese
Sema huyu jamaa namuonea huruma sana anajiwekea wakati mgumu sana mbeleni.
Mwaipopo amepewa m300 na Abduli kuunda hicho kikundi cha wakabaji.
Hamna sheikh hapo wote hao wanatokea Pale pale.
Mm namuunga mkono 100% kiboko wa wachawi, alitumia fursa ya Wapumbavu wakikristo kujilia mema, h n kuonyesha n kwa namna gn baadhi ya Wakristo ni Wapumbavu.Huyo sio mfano wa uislamu mkuu ni dalali tu mjanjamjanja.
Yaani ni sawasawa mimi niseme wakristo wote ni matapeli kisha nitoe mfano wa kiboko ya wachawi.
Huyo Mwaipopo alikuwa mkristo so aliingia kwenye uislamu kwa sababu ya maslahi yake fulani so mimi watu wa aina hiyo huwa siwaamini.Mm namuunga mkono 100% kiboko wa wachawi, alitumia fursa ya Wapumbavu wakikristo kujilia mema, h n kuonyesha n kwa namna gn baadhi ya Wakristo ni Wapumbavu.
Sawa na huyo mwaipopo anawakilisha Waislamu Wapumbavu.
Ila watz hasa wakristo Wapumbavu wapo wengi aisee na ndo mana kuna fursa huko kwenye uchungajiHuyo Mwaipopo alikuwa mkristo so aliingia kwenye uislamu kwa sababu ya maslahi yake fulani so mimi watu wa aina hiyo huwa siwaamini.
Ni sawasawa na yule jamaa anajiita Nabii IPM alikuwa muislamu kisha akaingia kwenye ukristo kwa ajili ya kupiga pesa so nikiwaona watu wazima na akili zao wamekalia viti kumsikiliza huwa nawaona mazwazwa tu
Yes ndio hivyo ni wepesi sana kuamini kwa sababu ya mfumo waliotengenezewa wa kumuamini mchungaji au padri kila alisemalo.Ila watz hasa wakristo Wapumbavu wapo wengi aisee na ndo mana kuna fursa huko kwenye uchungaji
Police wana kazi gani sasa kama mnaanza kuunda al shabab?