Kwa hiyo serikali imeamua kuleta vita? Itoshe kusema nchi hii tunaongozwa na mataahira! Hivi wananchi wakikataa si ndio mwanzo wa vita huo?
Serikali iwe makini na huyo sheikh .kimsingi nafahamu kuwa huo ni mzaha au kili lkn si kili nzuri sana.ikiachwa bila kukemewa kesho mwingine atakuja na jambo la hatari zaidi.aambiwe hilo si jukumu lake yeye aende msikitini akihubiri na kuleta mzaha kwa nchi.
Tsh ngap analipwaAnalipwa hela nyingi kuliko Polisi halafu Polisi bado wanabweteka tu