Serikali iwe makini na huyo sheikh .kimsingi nafahamu kuwa huo ni mzaha au kili lkn si kili nzuri sana.ikiachwa bila kukemewa kesho mwingine atakuja na jambo la hatari zaidi.aambiwe hilo si jukumu lake yeye aende msikitini akihubiri na kuleta mzaha kwa nchi.