Shekhe Ponda: Kuna nini ndani ya "MUUNGANO" zaidi ya Fitna, majungu na kudumaza Maendeleo ya Raia? Ni heri turudi kama zamani

Majungu hayataisha John hasa kwa hawa wenye "superiority complex" wapi uliona kiongozi wa chama kinachoitamani dola anabagua watu kwa misingi ya mahala watokapo? Alishindwa hata kufanya ghilba kama za Mwalimu japo target 🎯 yake ilikuwa political mileage na kweli aliachieve, though amefichua uhalisia wake, kauli kama hizi ziliwahi kuandikiwa Makala na muamisisi wa chama hicho hicho aliyewahi kuwa gavana, eti JK aliteua Wajumbe wa kamati ya mabadiliko ya katiba Kwa misingi ya Udini, no wonder hawatavuka maji na CCM idumu milele
 
Huu ni mtazamo wako.Tatizo nikwamba hamtaki kusikia ukweli kwamaslahi yenu.wewe kama unaona hakuna shida unadhani hizi zinazoitwa kero za muungano zimetokana na nini kama sio haya ni mataifa mawili yaliyounganishwa tu na watu ila yana mitadhamo tofauti.ccm haitakiwi kuwepo kwakuficha ukweli.hili la ubaguzi mnalieneza nyie msiotaka kufikiria vizuri.
 
Na huu ndio ukweli naked
 
Tupige kura ya maoni

Wwnaoogopa kujadili Muungano ndo hao wwnaouvunja kwa matendo yao
 
Mambo hayaendi kienyeji hivyo! Muungano ukivunjika ni lazima kuna muda wa mpito wa kuweka mambo sawa. Unaweza kukuta hata UN yenyewe lazima ije kusimamia mambo mana ilijulishwa muungano huu.

Kwa mfano, Wazanzibari walipo bara wakapewa chaguo kubaki bara au kurudi Zanzibar, na kinyume chake!

Rejea kuvunjika kwa EAC pamoja na Sudan.
 
Hawa watu ushawahi kuishi nao??
 
Uvunjwe hauna maana yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…