Majungu hayataisha John hasa kwa hawa wenye "superiority complex" wapi uliona kiongozi wa chama kinachoitamani dola anabagua watu kwa misingi ya mahala watokapo? Alishindwa hata kufanya ghilba kama za Mwalimu japo target [emoji457] yake ilikuwa political mileage na kweli aliachieve, though amefichua uhalisia wake, kauli kama hizi ziliwahi kuandikiwa Makala na muamisisi wa chama hicho hicho aliyewahi kuwa gavana, eti JK aliteua Wajumbe wa kamati ya mabadiliko ya katiba Kwa misingi ya Udini, no wonder hawatavuka maji na CCM idumu milele