Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hellow african
Mimi naishi na shemeji yangu dada yangu yupo india ni doctor uko india sasa shule wakati zimefunguliwa dada alisema shemeji anipeleke shule na gari yake ile BMW ya 2009
Sasa siku ilipofika shemeji kagoma kunipeleka anataka nipande daldala mimi sitaki leo nimerudi kutoka shule nimeomba ruhusa naenda kutibiwa sasa nimerudi nimemwambia njoo unichukue hapa shule kagoma kaanza kunifokea nimefika hapa nyumban kanipiga nataka nimwambie dada nitakuwa nimekosea?