Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ndio kama hivi kutaka kujua kila kitu n.k
Nishakujuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kama hivi kutaka kujua kila kitu n.k
Umempima ukamkuta ni wako, basi ni jambo hema, na Hilo litampa funzo kua ,Asije thubutu kuleta mzahaa Kwa kizazi chako.Na itakuwaje pindi umepima alafu ukamkuta huyo mtoto ni wako, je unadhani huyo mwanamke atawahi kukuelewa tena wakati umemwonesha dhahiri kuwa humwmini
DNA huwa wanapima mate , hata nywele pia zinatoa majibu si lazima damuWakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.
Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.
Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.
Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.
Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.
Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.
lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.
Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.
Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.
Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.
Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Kama ni rangi tu imewatia jamba jamba huo usomi wenu ni usomi upi?
Wangezaa albino je?
Anyway alipisema waachane hapo ipo wazi mmepigwa
Kwa tz hawatoi ya kweli,mwanzo walipokua wakitoa ya kweli ndoa zilivunjika na watoto kukosa matunzo,kwa kuwa jamhuri Haina uwezo wa kuhudumia watoto hao ikaona Bora ikubebeshe mzigo mwanaume wa kitanganyika maana wakiona pumbu hazitoshi kuwa mzigoWhy yawe ya uongo?
Unapigaje mtu mzima mwenzio, na kwanini uishi na mtu ambaye humwamini kama una mashaka nae si bora kuachana nae,Umempima ukamkuta ni wako, basi ni jambo hema, na Hilo litampa funzo kua ,Asije thubutu kuleta mzahaa Kwa kizazi chako.
Achana na masuala ya kuamin ... Wanawake Huwa wanapenda uwapige kipigo, lkn usiwape Emotional distress, unadhan kwann??.
Kipigo hakimpi onto Wala hakimbadili tabia.... Emotional distress ndo pekee unayoweza kuitumia Kumfanya aonyoke
Huwa wanaangalia Interest.Kwa tz hawatoi ya kweli,mwanzo walipokua wakitoa ya kweli ndoa zilivunjika na watoto kukosa matunzo,kwa kuwa jamhuri Haina uwezo wa kuhudumia watoto hao ikaona Bora ikubebeshe mzigo mwanaume wa kitanganyika maana wakiona pumbu hazitoshi kuwa mzigo
siyo lazima, inawezekana hata huyo wa kwanza ni wasiwasi. Ila mimi natoa mawazo tu kulingana na filamu moja ya kinigeria niliyoiona miaka mingi nyuma.Mtoto wa pili huyo
Soma Isaya 58:7Mwanamke yupo sahihi.Mwanaume aache utoto alee mtoto wake.Kitanda cha ndoa hakizai haramu huyo mbaba hebu akue!
Hii ndo Genetics.Jamaa kapigwa! Mtoto kama siyo wako unaweza kujuwa mapema, ukimuangalia vidole vya mikono na miguu kupitia sayansi ya kuenyeji.
Jamaa kapigwa! Mtoto kama siyo wako unaweza kujuwa mapema, ukimuangalia vidole vya mikono na miguu kupitia sayansi ya kuenyeji.
Soma Isaya 58:7
Uko kinyume na Maandiko.
Ndoa isivunjwe.
Mtoto alelewe na baba yake halali.
Mkuu kuna kaswali nmekuulza hujajbu[emoji23][emoji23]Hii ndo Genetics.
Kwani DNA mnajua inapimwaje? Mnashindwa kuchukua nywele, saliva au damu kidogo bila mama kujua? Mbona mnafanya mambo kilo cal sana. Chukueni nywele kimya kimya pelekeni mkapime.Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.
Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.
Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.
Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.
Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.
Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.
lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.
Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.
Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.
Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.
Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Ndio.Ee kumbe na haya mambo yanahitaji bible pia?
Mkuu hujachelewa, nakuhakikishia, ukiona mwanamke anakufanyia yasiyofaa ,ni wewe umeamua akufanyie hayo.Unapigaje mtu mzima mwenzio, na kwanini uishi na mtu ambaye humwamini kama una mashaka nae si bora kuachana nae,
Hapo italeta shida kubwa kwenye ndoa yenu maana mwanamke atajua anaishi na mtu asiyemwamini, na ipo siku atakutoa huo ujuaji wako mkuu, ukweli huwezi shindana na mwanamke, so stay low mkuu
Hii inawezekana kwasababu vinasaba vinaenda way back vizazi vingi sana..
Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.
😅😅😅 Hii ni ukiona Manyoya ujue tayari- partenity test lazima iombwe ustawi wa jamii au mahakamani siyo jambo la kuzoana tu.Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.