Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Na itakuwaje pindi umepima alafu ukamkuta huyo mtoto ni wako, je unadhani huyo mwanamke atawahi kukuelewa tena wakati umemwonesha dhahiri kuwa humwmini
Umempima ukamkuta ni wako, basi ni jambo hema, na Hilo litampa funzo kua ,Asije thubutu kuleta mzahaa Kwa kizazi chako.

Achana na masuala ya kuamin ... Wanawake Huwa wanapenda uwapige kipigo, lkn usiwape Emotional distress, unadhan kwann??.

Kipigo hakimpi onto Wala hakimbadili tabia.... Emotional distress ndo pekee unayoweza kuitumia Kumfanya aonyoke
 
Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.

Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.

Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.

Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.

Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.

Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.

lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.

Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.

Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.

Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.

Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
DNA huwa wanapima mate , hata nywele pia zinatoa majibu si lazima damu
 
Umempima ukamkuta ni wako, basi ni jambo hema, na Hilo litampa funzo kua ,Asije thubutu kuleta mzahaa Kwa kizazi chako.

Achana na masuala ya kuamin ... Wanawake Huwa wanapenda uwapige kipigo, lkn usiwape Emotional distress, unadhan kwann??.

Kipigo hakimpi onto Wala hakimbadili tabia.... Emotional distress ndo pekee unayoweza kuitumia Kumfanya aonyoke
Unapigaje mtu mzima mwenzio, na kwanini uishi na mtu ambaye humwamini kama una mashaka nae si bora kuachana nae,
Hapo italeta shida kubwa kwenye ndoa yenu maana mwanamke atajua anaishi na mtu asiyemwamini, na ipo siku atakutoa huo ujuaji wako mkuu, ukweli huwezi shindana na mwanamke, so stay low mkuu
 
Kwa tz hawatoi ya kweli,mwanzo walipokua wakitoa ya kweli ndoa zilivunjika na watoto kukosa matunzo,kwa kuwa jamhuri Haina uwezo wa kuhudumia watoto hao ikaona Bora ikubebeshe mzigo mwanaume wa kitanganyika maana wakiona pumbu hazitoshi kuwa mzigo
Huwa wanaangalia Interest.
 
Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.

Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.

Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.

Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.

Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.

Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.

lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.

Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.

Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.

Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.

Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Kwani DNA mnajua inapimwaje? Mnashindwa kuchukua nywele, saliva au damu kidogo bila mama kujua? Mbona mnafanya mambo kilo cal sana. Chukueni nywele kimya kimya pelekeni mkapime.
 
Unapigaje mtu mzima mwenzio, na kwanini uishi na mtu ambaye humwamini kama una mashaka nae si bora kuachana nae,
Hapo italeta shida kubwa kwenye ndoa yenu maana mwanamke atajua anaishi na mtu asiyemwamini, na ipo siku atakutoa huo ujuaji wako mkuu, ukweli huwezi shindana na mwanamke, so stay low mkuu
Mkuu hujachelewa, nakuhakikishia, ukiona mwanamke anakufanyia yasiyofaa ,ni wewe umeamua akufanyie hayo.

Kua kimya Kwa mwanamke, mwisho wake ni kukuona Boya.
 
.

Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.
Hii inawezekana kwasababu vinasaba vinaenda way back vizazi vingi sana.
Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.
😅😅😅 Hii ni ukiona Manyoya ujue tayari- partenity test lazima iombwe ustawi wa jamii au mahakamani siyo jambo la kuzoana tu.
 
Back
Top Bottom