Chizi Jambazi
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,769
- 1,379
tiGo inapatikana?Kuhonga mwanamke asiyekuwa na shepu hii, ni matumizi mabaya ya fedha.View attachment 2900753
Wengi wanajisifia kuhonga vipato vyao kwa wapenzi wao mbalimbali; wengine wanasema pesa ya mwanaume lazima itumiwe na mwanamke.
Na kwa sasa tunapokaribia siku ya wapendanao, wapo wanaume wameshaanza kupigwa mizinga ya hapa na pale.
Swali la kujiuliza, anayekupiga mzinga ana shepu ya namna gani?
Hii ndio shepu ya kupiga mizinga, kama hana muonekano huu vaa viatu ukimbie haraka.
Una undugu na BICHWA KOMWE-tiGo inapatikana?
Ile kitu haipo usoni kamanda πππMa komwe hayo kamanda umejipofusha usione?
[emoji1]Nimechekaaa[emoji16]..... dubwi hili hhapaView attachment 2901087
Ndo hivyo mkuu, tupo humu ikla wakati tunajifariji fariji.Hadi wewe ni choka mbaya kama mimi?? πππ
ππππNdo hivyo mkuu, tupo humu ikla wakati tunajifariji fariji.
Achana naye huyo nisikilize mimi!!!Hapo Sawa jamaniππππ₯°π₯° ,ila umenikumbusha kitu kuna mtu aliahidi kuninunulia gari wakati yeye hana hata baiskeli
mmekaririshwa vibaya. iyo ya KE ikioshwa vizuri inaenda tu mbn.Una undugu na BICHWA KOMWE-
Uchawi upo mkuu,watu wanahonga sana niaminiHivi humu JF ni kweli watu wananunulia mademu magari?! π«£
Sijaelewammekaririshwa vibaya. iyo ya KE ikioshwa vizuri inaenda tu mbn.
Hii ndio JF.Hivi humu JF ni kweli watu wananunulia mademu magari?! π«£
Ongeza sauti ππππHAwa wacheza dubwi??
Wapo wa kutoa afu tatu na ukipewa jiandae na uzi mrefu wa malalamiko π€£Hivi humu JF ni kweli watu wananunulia mademu magari?! π«£
ππππWapo wa kutoa afu tatu na ukipewa jiandae na uzi mrefu wa malalamiko π€£
Kweli!!Hii ndio JF.
Kama ni halali yako omba mungu mtakutana tu sio kwakuwa unakisu ulazimishe kukata kila kilichopo mbele yako.Ebu tupatie namba yake