Shepu inayostaili kula hela za mwanaume (kupiga mizinga)

Mwanaume akiwa na pisi kali huwa anajiamini sana, utamuona mda wote anataka atembee pamoja na mwenzake; ila ikiwa mbovu sasa, anamwambia tangulia tutakutana kanisani 😀
Vyovyote atakavyo kua ndio inakua ni chaguo lake kwa sababu mara zote uzuri uko machoni kwa anaetazama ukielewa hiyo Sheria hutosema kwa nini huyu jamaa pisi yake mbovu
 
Vyovyote atakavyo kua ndio inakua ni chaguo lake kwa sababu mara zote uzuri uko machoni kwa anaetazama ukielewa hiyo Sheria hutosema kwa nini huyu jamaa pisi yake mbovu
Na wengi tunaoa pisi mbovu ili kuwepo na utulivu kwenye familia
 
Mbona ni yule mke wa Bashite mama nani vile!
 
Mimi sichagui shape, my greatest disappointment ni mwanamke awe ana nuka kupitiliza 🤣 🤣.

Na wenye hii mishepu wanakuwaga na Hilo tatizo
Hili tatizo limekuwa ni sugu nadhani,maana kukuta ambaye hanuki imeanza kuwa ni bahati...unamuogesha vizuri usiku akija geto, asubuhi hari mbaya, kitumbua hakiliki, ....

Ukiwaambia wapunguze kuvaa sisuruali vyao hivyo, masuper-woman wanakujiaa juu na mawigi yao kichwani yenye kilo tano...
 
Hii ni pundamilia or mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…