Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

Unavuka kwenda wapi na kalendar haikuhusu,hizi kalendar ni vitu vya kubuni,wachina wana calendar yao inaanza mwezi wa pili,waarabu wanayao ila zimeouuzwa na ulimwengu
Na sisi Waislamu tuna yetu huu ni mwaka 1444H.
 
Mbona hawasherehekei huo mwaka mpya wao,nasikia tu mwezi shabani,ramadhani etc
Kwetu sisi Waislamu tuna sikukuu tatu tu, Iddi Al Fritr, Iddi Al Ad'ha na Iddi ya Jumaa, yaani kila siku ya Ijumaa.

Kusherehekea kupinduka mwaka kwetu sisi Waislamu haifai na ni jambo ambalo walio tutangulia hawakufanya na sisi Waislamu hatufanyi hivyo.

Ibaki ya kuwa Sikukuu ya Mwaka mpya wa Miladiya ni yenu nyinyi Wakristo na so yetu sisi. Na Sasa naona Waislamu mdogo mdogo wameanza kuelewa isipokuwa baadhi Yao ambayo wako mbali na dini yao, ila wataelewa tu kwa idhini ya Allah.
 
Azam tv wanawatakia watanzania wote heri ya mwaka mpya ila wakaogopa kuweka neno xmas
 


Hata hiyo saa, kwenye uzi wako imeandikwa; today at 2:02 pm inafuata kalenda ya kikristo, basi anza na hiyo saa kabla ya kalenda.
 
Mods
 
Hata hiyo saa, kwenye uzi wako imeandikwa; today at 2:02 pm inafuata kalenda ya kikristo, basi anza na hiyo saa kabla ya kalenda.
Tukubali tu dunia inatawaliwa na mfumo kristo,kila mtu hata sheikh ukimuuliza tupo karne ya ngapi atakupa jibu kulingana na kalenda ya Papa Gregory
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…